Naomba ushauri kuhusu kuigawa (kui_partition) nyumba

Naomba ushauri kuhusu kuigawa (kui_partition) nyumba

Udochi

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2015
Posts
787
Reaction score
1,056
Kwa kurejelea mchoro huu, nimeshajenga msingi kamili.
Ila naona nyumba itakuwa kubwa sana kuimudu kujenga yote kwa sasa.

Nafikiria kuigawa katika sehemu mbili, niikamilishe hiyo sehemu ya upande wa kushoto ili nihamie.

Kisha upande wa kulia niliouweka rangi nyekundu ije kuwa apartment ambayo nitaifanya chumba na sebule zinazojitegeme siku zijazo.

Naomba ushauri, maoni na uzoefu wenu.

SKETCH...aa.PNG

View attachment 2095552
View attachment 2095553
 
Uko sahii
[emoji117]Store ifanye choo Cha ndani
[emoji117]Kitchen ifanye iwe bedroom
[emoji117]Dinning ifanye sebule

Changamoto,
Hatujajua vipimo vya iyo sebule vitakuaje maana naona Ni ndogo
 
Pia kama kidg mfuko unaruhusu Chukua
Iyo master bedroom na sitting room pamoja na korido

Ila korido ifanye nafas ya jiko (kupikia)
 
Uko sahii
[emoji117]Store ifanye choo Cha ndani
[emoji117]Kitchen ifanye iwe bedroom
[emoji117]Dinning ifanye sebule

Changamoto,
Hatujajua vipimo vya iyo sebule vitakuaje maana naona Ni ndogo
Mkuu umenipa mwongozo safi kabisa.
Vipimo ni moderate tu futi 11, vinakidhi.
 
Pia kama kidg mfuko unaruhusu Chukua
Iyo master bedroom na sitting room pamoja na korido

Ila korido ifanye nafas ya jiko (kupikia)
Hapo wamaanisha bedroom ipi, iliyopo katikati au iliyopo pembeni kushoto?
 
Hakikisha kwamba mfumo wa maji taka umefupishwa kwa kuweka vyoo karibu. Pia jiko lisiwe mbali sana. Hii itakupunguzia gharama za kuunganisha mfumo wa majitaka kwenye nyumba.
 
Back
Top Bottom