Udochi
JF-Expert Member
- Jul 25, 2015
- 787
- 1,056
Kwa kurejelea mchoro huu, nimeshajenga msingi kamili.
Ila naona nyumba itakuwa kubwa sana kuimudu kujenga yote kwa sasa.
Nafikiria kuigawa katika sehemu mbili, niikamilishe hiyo sehemu ya upande wa kushoto ili nihamie.
Kisha upande wa kulia niliouweka rangi nyekundu ije kuwa apartment ambayo nitaifanya chumba na sebule zinazojitegeme siku zijazo.
Naomba ushauri, maoni na uzoefu wenu.
View attachment 2095552
View attachment 2095553