Mimi mstaarabu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 262
- 577
Natoaje uoga jamanEndelea na mafunzo Gari Manual ni rahisi kuiendesha kama sio muoga ,na ukijua manual automatic transimission ni rahisi sana na utaenjoy driving ya gari lolote ukifuzu
Unataka uwe VanDizzo au 😅😅 just jokes. Kama unapenda driving soma manual fanya mazoez nenda youtube kuna video nyingiboraa kuliko mwalimu wako naaminMi nataka kujua kuendesha gari vizuri tu
Kama unapenda driving soma manual fanya mazoez nenda youtube kuna video nyingiboraa kuliko mwalimu wako naaminMi nataka kujua kuendesha gari vizuri tu
Ukiendesha gari usiangalie gia lever,angalia mbele na kubadilisha gia ni rahisi na mara nyingi mnatumia no 2 kuendesha wakati wa kujifunza.Natoaje uoga jaman
Nenda taratibu utajua hayana shida hayo.Mimi ni msichana nina umri wa miaka 23. Nimemaliza chuo nikaona ngoja nisomee udereva driving school moja hivi hapa Dar. Sasa hapo wanafunza manual tu...
Anza kuendesha endesha kariakoo huko posta. Sehemu zenye magari mengi.. kaya kibati alafu cheza game za racingNatoaje uoga jaman
Ndo kwanza naanza kufundishwa sina leseni wala nnAnza kuendesha endesha kariakoo huko posta. Sehemu zenye magari mengi.. kaya kibati alafu cheza game za racing
Asante sanaUtakuja kuwa dereva mzuri sana.Usikate tamaa.Ni kawaida kuwa na hofu hapo mwanzo mwanzo.Halafu madereva wa kike ni wazuri kuliko madereva wa kiume.Madereva wa kike huwa wanaendesha gari vizuri sana na kwa kuzingatia sheria.
Mkuu unafikiri gia namba moja ukileta ujinga haizimi??Gari inazima sababu upo kwenye Gia kubwa.
Unapotaka kusimama unasahau upo Gia namba ngapi.
ukitembelea Gia namba 1gari haiwezi kuzima.
Wewe ni DEREVA SASA.
Balance ya Clutch na mafuta mkuuManual mchawi ni clutch Tu.