mjusilizard
JF-Expert Member
- Nov 7, 2019
- 1,027
- 1,869
safii, mleta mada rekebisha hapo, ninaamini kwingine ni freshAnapaswa kuanza kwa kukanyaga brake kwanza na siyo Clutch kwanza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
safii, mleta mada rekebisha hapo, ninaamini kwingine ni freshAnapaswa kuanza kwa kukanyaga brake kwanza na siyo Clutch kwanza.
Mimi sikumbuki mara ya mwisho kuondoka na gia namba moja, mara zote ilikuwa gia namba mbili, kwa sasa huku niliko ni mwendo wa Auto tu, ila wife huko anagonga kirungu kama mwanaumeNa tena ndo gear inayotesa wanafunzi kishenz [emoji1787] [emoji1787]
Wengi mkitoka hapo, manual mnazisikia kwenye stori tu, kazania kujua mipaka ya gari, stability na udereva wa kujihami, zaidi ujue jinsi ya kutoa pesa ya kiwi.
Sioni ukiendesha manual baada ya hapo unless uajiriwe upande wa Sales/Marketing kwa hawa TCC, Serengeti na wafananao, wanaopewa zile Single cab kufanyia kazi.
Kila la kheri
Kazi unayo taka kufanya inahusiana na biashara yangu.Mimi ni msichana nina umri wa miaka 23. Nimemaliza chuo nikaona ngoja nisomee udereva driving school moja hivi hapa Dar. Sasa hapo wanafunza manual tu.
Mpaka sasa nina week moja, tushafundishwa gia ya kwanza ya pili na ya tatu na reverse (gia ya kurudi nyuma).
Kwa ujumla naendelea vizuri kwa kaisi chake lakini nina hofu sana mpaka gari inazima kuna muda uwanjani.
Mwalimu kaniambia nina uwezo wa kufaulu vizuri ila sijiamini na nina hofu sana.
Nilikua ushauri wenu: hivi nitakuja kuwa dereva mzuri kweli? Baada ya mwezi kuisha?
Nifanyeje nisiwe na hofu? Na nijiamini.
Pambana na automatic transmission. Hizo manual ni mbwembwe tu zimeshapitwa na wakati. Kwanza katika gari 100 utapishana nazo barabarani manual ni 3 kwa bahati [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi ni msichana nina umri wa miaka 23. Nimemaliza chuo nikaona ngoja nisomee udereva driving school moja hivi hapa Dar. Sasa hapo wanafunza manual tu.
Mpaka sasa nina week moja, tushafundishwa gia ya kwanza ya pili na ya tatu na reverse (gia ya kurudi nyuma).
Kwa ujumla naendelea vizuri kwa kaisi chake lakini nina hofu sana mpaka gari inazima kuna muda uwanjani.
Mwalimu kaniambia nina uwezo wa kufaulu vizuri ila sijiamini na nina hofu sana.
Nilikua ushauri wenu: hivi nitakuja kuwa dereva mzuri kweli? Baada ya mwezi kuisha?
Nifanyeje nisiwe na hofu? Na nijiamini.
Mkuu, makampuni makubwa duniani yanatumia manual transmission cars,Pambana na automatic transmission. Hizo manual ni mbwembwe tu zimeshapitwa na wakati. Kwanza katika gari 100 utapishana nazo barabarani manual ni 3 kwa bahati [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tupe mfano wa makampuni makubwa yasiyo na option ya manual transmission mkuu wangu?!Mkuu, makampuni makubwa duniani yanatumia manual transmission cars,
Siku ukipata fursa ya kufanya nao unafika unapewa manual utajishangaa
Mkuu unashauri kwamba vyuo vya udereva waweke somo la kutoa ya kiwi sio [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wengi mkitoka hapo, manual mnazisikia kwenye stori tu, kazania kujua mipaka ya gari, stability na udereva wa kujihami, zaidi ujue jinsi ya kutoa pesa ya kiwi.
Sioni ukiendesha manual baada ya hapo unless uajiriwe upande wa Sales/Marketing kwa hawa TCC, Serengeti na wafananao, wanaopewa zile Single cab kufanyia kazi.
Kila la kheri
Uko sahihi mkuu, sema ukitaka kuondoka ndipo itazima unless ubadili giaMimi naona ni clutch na break.
Hata ukiwa Gia kubwa unaweza ukasimama Kwa kukanyaga clutch na break na gari isizime
Magari ya coca-cola, Pepsi, Serengeti mengi ni manual.Pambana na automatic transmission. Hizo manual ni mbwembwe tu zimeshapitwa na wakati. Kwanza katika gari 100 utapishana nazo barabarani manual ni 3 kwa bahati [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Vipi nikitaka kusimamisha gari mkuu,nipe hizo stepsNi rahisi sana. Ukishamudu kuinyoosha na kukata kona vizuri basi zingatia namna rahisi za kuwasha na kuzima kama hivi hapa chini:
KUONDOA AU KUENDESHA GARI.
Unapokuwa umekagua gari lako na kulikuta liko katika hali nzuri sasa unataka kuliendesha na kuanza safari na gari lako, unapoingia kwenye gari na kuikuta iko katika gea namba moja basi sasa unapaswa kufanya maswala yafuatayo.
i. Weka switch/ yaani ufunguo wa gari katika sehemu yake
ii. Kanyaga clutch mpaka mwisho
iii. Ondoa gea namba moja na kuliweka gari huru yaani free
iv. Ondoa mguu kwenye clutch
v. Anza kuwasha ufunguo wa gari Satrt/Switch gari
vi. Sikiliza muungurumo kidogo
vii. Kanyaga clutch mpaka mwisho/pamoja na brake kulisaidia gari lisiweze kurudi nyuma
viii. Ondoa gari kutoka kwenye free mpaka kwenye nambari moja gea hii mara nyingi hujulikana kama gea ya kuondokea
ix. Legeza mguu wa kwenye clutch mpaka unasikia gari kama inaondoka hivi mlio unakuwa umebadilika na unakuwa constant
x. Kumbuka kutoa handbrake
xi. Ongeza mafuta kidogo na na kulegeza clutch na gari litaanza kuondoka na linapoondoka achia clutch, lakini usiachie ghafla, taratibu baada ya kuona baada ya kuona gari liko kwenye mwendo wa kawaida
xii. Lipe gari nguvu kwa kuongeza mafuta na badilisha gea nambari moja kwenda nambari mbili, unapobadilisha gea hakikisha kuwa unaachioa accelerator na kukanyaga clutch na baada ya gea kuingia unaachoia clutch na unakanyaga acceleretaor
xiii. Utaendelea na safari kwa kubadilisha gea nambari mbili mpaka tatu na kuendelea
Kumbuka gea nambari moja sio ya kutembelea hivyo usiiache kwa muda mrefu bila ya kuibadilisha
Miaka 23 unajiitaje msichana? (Joke) utaweza, jitahidi kufuatilia unayoelekezwa na MkufunziMimi ni msichana nina umri wa miaka 23. Nimemaliza chuo nikaona ngoja nisomee udereva driving school moja hivi hapa Dar. Sasa hapo wanafunza manual tu.