mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Mkuu unafikiri gia namba moja ukileta ujinga haizimi??
Balance ya Clutch na mafuta mkuu
Mimi nimejua kuendesha gari manual nikiwa mdogo(15) sana, leseni nimekuja pata nikiwa na 23 yrs lakini siku zote nilikuwa naendesha bila leseni na wala sina hofu, ningekuwa huko ningekusaidia, mke wangu anapiga gia kama mwanaumeNdo kwanza naanza kufundishwa sina leseni wala nn
Usipende kukanyaga brake na clutch katika speed kubwa, kanyaga tu brake na punguza gear na uachie clucth baada ya kubadili gear gari ikishapungua mwendo kwenda kusimama ndo ukanyage clutch ili isizime.Mimi naona ni clutch na break.
Hata ukiwa Gia kubwa unaweza ukasimama Kwa kukanyaga clutch na break na gari isizime
Usipende kukanyaga brake na clutch katika speed kubwa, kanyaga tu brake na punguza gear na uachie clucth baada ya kubadili gear gari ikishapungua mwendo kwenda kusimama ndo ukanyage clutch ili isizime.
Kwann 1st gear isizime mkuu kama hajafata masharti? Changamoto kubwa ya first time drivers ni jinsi ya kuondoa gari na jinsi ya kusimama bila gari kuzima pamoja na ku control gari lisizime kwenye foleni ya kilimani.Gari inazima sababu upo kwenye Gia kubwa.
Unapotaka kusimama unasahau upo Gia namba ngapi.
ukitembelea Gia namba 1gari haiwezi kuzima.
Wewe ni DEREVA SASA.
Na tena ndo gear inayotesa wanafunzi kishenz 🤣 🤣Mkuu unafikiri gia namba moja ukileta ujinga haizimi??
Kwann 1st gear isizime mkuu kama hajafata masharti? Changamoto kubwa ya first time drivers ni jinsi ya kuondoa gari na jinsi ya kusimama bila gari kuzima pamoja na ku control gari lisizime kwenye foleni ya kilimani.
*Point of correction-1st gear ndiyo gear kubwa na siyo vinginevyo.
Na tena ndo gear inayotesa wanafunzi kishenz [emoji1787] [emoji1787]
1st gear haijawah kuwa gear ndogo hata siku moja mkuu labda kwenye huo mtaa wenu 🤣 🤣Gari ya diesel unaweza ukaacha kwenye Gia namba 1 na isizime na ikaendelea kwenda..
Sisi huku kitaa tunaamini Gia namba 1 ndo Gia ndogo.
1st gear haijawah kuwa gear ndogo hata siku moja mkuu labda kwenye huo mtaa wenu [emoji1787] [emoji1787]
Mkuu kwa wanaoendesha gari watakupa experience hapa wakati walipokuwa wanajifunza au changamoto walizoziona wakiwafundisha wenzao.Kama unazima gari wakati wa kuondoka ukiwa Gia namba moja wewe ni mzembe
Mkuu kwa wanaoendesha gari watakupa experience hapa wakati walipokuwa wanajifunza au changamoto walizoziona wakiwafundisha wenzao.
Gari la Manual ni rahisi sana kuliendesha likiwa kwenye motion.
Ukikanyaga Clutch na break haliwez kuzima kama ulivyosema,lakin kiuhalisia 1st time drivers hukimbilia break na kusahau ku engage clutch na hvyo gari kuzimaMimi naona ni clutch na break.
Hata ukiwa Gia kubwa unaweza ukasimama Kwa kukanyaga clutch na break na gari isizime
Hapa tunamwongelea mwanafunz mkuu wangu 🤣 🤣 🤣,Na ninaamin msala wake mkubwa ni jinsi ya kusimama na kuondokaKwa anayejifunza Sawa.
Mimi namzungumzia DEREVA.
Hizi taratibu ulizompa akizifanya kama zilivyo ipo siku zitamuua au kuharibu gari Mguu kwenye break ni muhimu sana na siyo hiyo clutch kabla ya kuanza kuwasha gari na kufanya mengineyoNi rahisi sana. Ukishamudu kuinyoosha na kukata kona vizuri basi zingatia namna rahisi za kuwasha na kuzima kama hivi hapa chini:
KUONDOA AU KUENDESHA GARI.
Unapokuwa umekagua gari lako na kulikuta liko katika hali nzuri sasa unataka kuliendesha na kuanza safari na gari lako, unapoingia kwenye gari na kuikuta iko katika gea namba moja basi sasa unapaswa kufanya maswala yafuatayo...
Asante kwa mawazo mkuu. Tunaelimishana, huenda kweli nimeruka kitu, sehemu gani nimekosea hapo?Hz taratibu ulizompa akizifanya kama zilivyo ipo siku zitamuua au kuharibu gari
Mguu kwenye break ni muhimu sana na siyo hiyo clutch kabla ya kuanza kuwasha gari na kufanya mengineyo
Anapaswa kuanza kwa kukanyaga brake kwanza na siyo Clutch kwanza.Asante kwa mawazo mkuu. Tunaelimishana, huenda kweli nimeruka kitu, sehemu gani nimekosea hapo?