Naomba ushauri kuhusu kujifunza Gari ya Manual kwa Msichana

Aaah! Kila.kukicha watalaamu wana rahisha maisha kwemye magari, kwa kuwela Auto unazungurusha kama una search radio 😀😀😀
 
Na tena ndo gear inayotesa wanafunzi kishenz [emoji1787] [emoji1787]
Mimi sikumbuki mara ya mwisho kuondoka na gia namba moja, mara zote ilikuwa gia namba mbili, kwa sasa huku niliko ni mwendo wa Auto tu, ila wife huko anagonga kirungu kama mwanaume
 
Kuna maana gani kujifunz kuendesha manual wakati ukifuzu utaja endesha automatic?Nisaidieni kuna faida gani?
 
Ajiandae kutoa hela ya kiwi [emoji23]
 
Kazi unayo taka kufanya inahusiana na biashara yangu.
Nauza milungi mkuu
 
Pambana na automatic transmission. Hizo manual ni mbwembwe tu zimeshapitwa na wakati. Kwanza katika gari 100 utapishana nazo barabarani manual ni 3 kwa bahati [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pambana na automatic transmission. Hizo manual ni mbwembwe tu zimeshapitwa na wakati. Kwanza katika gari 100 utapishana nazo barabarani manual ni 3 kwa bahati [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu, makampuni makubwa duniani yanatumia manual transmission cars,

Siku ukipata fursa ya kufanya nao unafika unapewa manual utajishangaa
 
Mkuu, makampuni makubwa duniani yanatumia manual transmission cars,

Siku ukipata fursa ya kufanya nao unafika unapewa manual utajishangaa
Tupe mfano wa makampuni makubwa yasiyo na option ya manual transmission mkuu wangu?!
 
Mkuu unashauri kwamba vyuo vya udereva waweke somo la kutoa ya kiwi sio [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mimi naona ni clutch na break.
Hata ukiwa Gia kubwa unaweza ukasimama Kwa kukanyaga clutch na break na gari isizime
Uko sahihi mkuu, sema ukitaka kuondoka ndipo itazima unless ubadili gia
 
Pambana na automatic transmission. Hizo manual ni mbwembwe tu zimeshapitwa na wakati. Kwanza katika gari 100 utapishana nazo barabarani manual ni 3 kwa bahati [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Magari ya coca-cola, Pepsi, Serengeti mengi ni manual.

Kuna dada alipata kazi Coca-cola Mwenge. Akaambiwa lazima alete cheti cha udereva wa manual car ndio asaini mkataba.

akalazimika kuja ofisini kwetu kujifunza manual. Pamoja na kuwa ni dereva mzuri tu wa Auto.
 
Vipi nikitaka kusimamisha gari mkuu,nipe hizo steps
 
Miaka 23 unajiitaje msichana? (Joke) utaweza, jitahidi kufuatilia unayoelekezwa na Mkufunzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…