Mworia's Inc
Member
- Apr 6, 2014
- 18
- 25
Maoni yenu wakuuWasalaam.
Wakuu wenye uzoefu na magari ya Singapore, naomba uzoefu wenu. Hizi gari za Singapore nyingi zimenyooka kweli kweli, sio nje wa ndani kote, yani ni nzuri sana. Kama mtu akitaka kuagiza kutoka Singapore, ni vitu gani vya kuzingatia kabla ya kufanya maamuzi? Na kwanini story za mitaani nyingi ni kama hizi gari za Singapore sio za kuagiza, wengi wanashauri Japan, japo za Singapore tunaziona ila chache.
Pia naona TRA Valuation System kwa hii gari niliyo sample hapo hawana Singapore as country of origin, ni Japan tu. Hii ni kwa nini?
Naombeni maoni yenu kwa wenye uzoefu. Nimesample gari moja hapo nimeweka na picha. Wenye maoni ambayo yatahusisha gari niliyo-sample pia hapo mnakaribishwa.
Mkuu kuna threads zipo ndani hapa zinazungumzia uhovyo wa margarita ya Singapore sema sikumbuki ningeweka hapa,,lakini zipo,zinazohusu kwanini magari ya Singapore ni mabovu na hayafai kuagiza, lakini kwenye uzuri wa nje, mwonekano mpaka bei yapo safi kwenye picha lakini uharisia ni tofauti utalia na kusaga meno Mad Max Extrovert Isanga familyWasalaam.
Wakuu wenye uzoefu na magari ya Singapore, naomba uzoefu wenu. Hizi gari za Singapore nyingi zimenyooka kweli kweli, sio nje wa ndani kote, yani ni nzuri sana. Kama mtu akitaka kuagiza kutoka Singapore, ni vitu gani vya kuzingatia kabla ya kufanya maamuzi? Na kwanini story za mitaani nyingi ni kama hizi gari za Singapore sio za kuagiza, wengi wanashauri Japan, japo za Singapore tunaziona ila chache.
Pia naona TRA Valuation System kwa hii gari niliyo sample hapo hawana Singapore as country of origin, ni Japan tu. Hii ni kwa nini?
Naombeni maoni yenu kwa wenye uzoefu. Nimesample gari moja hapo nimeweka na picha. Wenye maoni ambayo yatahusisha gari niliyo-sample pia hapo mnakaribishwa.
Singapore wana magari mabovu sema watu hawashauriki na wengine wanauliza hapa unasikia yameleta majanga ndio wanakutafuta tena kuna jamaa niliwahi kumshauri kuhusu Scania za Korea wanazobadili sterling kuweka upande wa kulia kutoka kushoto nilimwambia ni nzuri kufanya kwenye gari ndogo na si truck kwa sababu mfumo wa umeme kuleta short ni rahisi sana jama truck zake zote tatu zimeungua na ingine hiyo iliyogonga Bus lililoua abiria 32 chanzo ni moto wa Scania zile gari hata ukiigonga na gari ndogo lazima iwake moto huko wananunua bei ndogo ila madhara yake ndio hayo ukiwashauri mapema hawaanini mpaka yalete madhara kama hivyo..Mkuu kuna threads zipo ndani hapa zinazungumzia uhovyo wa margarita ya Singapore sema sikumbuki ningeweka hapa,,lakini zipo,zinazohusu kwanini magari ya Singapore ni mabovu na hayafai kuagiza, lakini kwenye uzuri wa nje, mwonekano mpaka bei yapo safi kwenye picha lakini uharisia ni tofauti utalia na kusaga meno Mad Max Extrovert Isanga family
Oops Hatari SanaSingapore wana magari mabovu sema watu hawashauriki na wengine wanauliza hapa unasikia yameleta majanga ndio wanakutafuta tena kuna jamaa niliwahi kumshauri kuhusu Scania za Korea wanazobadili sterling kuweka upande wa kulia kutoka kushoto nilimwambia ni nzuri kufanya kwenye gari ndogo na si truck kwa sababu mfumo wa umeme kuleta short ni rahisi sana jama truck zake zote tatu zimeungua na ingine hiyo iliyogonga Bus lililoua abiria 32 chanzo ni moto wa Scania zile gari hata ukiigonga na gari ndogo lazima iwake moto huko wananunua bei ndogo ila madhara yake ndio hayo ukiwashauri mapema hawaanini mpaka yalete madhara kama hivyo..
Kweli kabisa.Singapore hawana inspection standard procedure kama Japan ama china ama Dubai ukaguzi wa magari au usalama wa magari ....magari ya Singapore yanakuja na kasoro nyingi Ambazo kwenye cheti cha inspection hazionekani utakuja piga ukunga kiongozi kaa nayo mbali sijasema kasoro zote
Sahihi mpaka liwakute jambo,mambo ya mtetemko ndio tatizo baadae yqnatokea makubwa.Singapore wana magari mabovu sema watu hawashauriki na wengine wanauliza hapa unasikia yameleta majanga ndio wanakutafuta tena kuna jamaa niliwahi kumshauri kuhusu Scania za Korea wanazobadili sterling kuweka upande wa kulia kutoka kushoto nilimwambia ni nzuri kufanya kwenye gari ndogo na si truck kwa sababu mfumo wa umeme kuleta short ni rahisi sana jama truck zake zote tatu zimeungua na ingine hiyo iliyogonga Bus lililoua abiria 32 chanzo ni moto wa Scania zile gari hata ukiigonga na gari ndogo lazima iwake moto huko wananunua bei ndogo ila madhara yake ndio hayo ukiwashauri mapema hawaanini mpaka yalete madhara kama hivyo..
Humu watu wengi wametapeliwa SA wengine kiasi kikubwa mpaka 53m wakiibiwa ndio wanakuja inbox eti nifiatilie sijui Interpol..Sahihi mpaka liwakute jambo,mambo ya mtetemko ndio tatizo baadae yqnatokea makubwa.
Kwa nini alibadili sukani toka kushoto, asingeyaendesha kwa kutumia kushoto?Singapore wana magari mabovu sema watu hawashauriki na wengine wanauliza hapa unasikia yameleta majanga ndio wanakutafuta tena kuna jamaa niliwahi kumshauri kuhusu Scania za Korea wanazobadili sterling kuweka upande wa kulia kutoka kushoto nilimwambia ni nzuri kufanya kwenye gari ndogo na si truck kwa sababu mfumo wa umeme kuleta short ni rahisi sana jama truck zake zote tatu zimeungua na ingine hiyo iliyogonga Bus lililoua abiria 32 chanzo ni moto wa Scania zile gari hata ukiigonga na gari ndogo lazima iwake moto huko wananunua bei ndogo ila madhara yake ndio hayo ukiwashauri mapema hawaanini mpaka yalete madhara kama hivyo..
Saivi hawaji mpaka mambo yabume 🤣🤣Humu watu wengi wametapeliwa SA wengine kiasi kikubwa mpaka 53m wakiibiwa ndio wanakuja inbox eti nifiatilie sijui Interpol..
Shukrani sana.Mkuu kuna threads zipo ndani hapa zinazungumzia uhovyo wa margarita ya Singapore sema sikumbuki ningeweka hapa,,lakini zipo,zinazohusu kwanini magari ya Singapore ni mabovu na hayafai kuagiza, lakini kwenye uzuri wa nje, mwonekano mpaka bei yapo safi kwenye picha lakini uharisia ni tofauti utalia na kusaga meno Mad Max Extrovert Isanga family
Duh...aise so sad shida Singapore gari zao zinavutia sana wange kua strict kam Japan wangepiga hela Sana na ile policy yao ya 10 yrs cerficate of ownershipSingapore wana magari mabovu sema watu hawashauriki na wengine wanauliza hapa unasikia yameleta majanga ndio wanakutafuta tena kuna jamaa niliwahi kumshauri kuhusu Scania za Korea wanazobadili sterling kuweka upande wa kulia kutoka kushoto nilimwambia ni nzuri kufanya kwenye gari ndogo na si truck kwa sababu mfumo wa umeme kuleta short ni rahisi sana jama truck zake zote tatu zimeungua na ingine hiyo iliyogonga Bus lililoua abiria 32 chanzo ni moto wa Scania zile gari hata ukiigonga na gari ndogo lazima iwake moto huko wananunua bei ndogo ila madhara yake ndio hayo ukiwashauri mapema hawaanini mpaka yalete madhara kama hivyo..
Humu watu wengi wametapeliwa SA wengine kiasi kikubwa mpaka 53m wakiibiwa ndio wanakuja inbox eti
Humu watu wengi wametapeliwa SA wengine kiasi kikubwa mpaka 53m wakiibiwa ndio wanakuja inbox eti nifiatilie sijui Interpol..Ata kwa kutumia Makampuni kama Beforwad Bado Kuna kutapeliwa Tena?Humu watu wengi wametapeliwa SA wengine kiasi kikubwa mpaka 53m wakiibiwa ndio wanakuja inbox eti nifiatilie sijui Interpol..
Shukran mtaalamKama unataka gari roho ya paka nunua kutoka Japan nje ya hapo uwe na hela ya matengenezo. Hakuna gari mbovu kama una hela ya kuitengeneza, Japan wapo vyema kwenye kuihudumia gari. Sina uzoefu na magari ya Singapore
Ndio Maana Inspection sheet zao looks fabricatedSingapore hawana inspection standard procedure kama Japan ama china ama Dubai ukaguzi wa magari au usalama wa magari ....magari ya Singapore yanakuja na kasoro nyingi Ambazo kwenye cheti cha inspection hazionekani utakuja piga ukunga kiongozi kaa nayo mbali sijasema kasoro zote