Naomba ushauri kuhusu magari Singapore na tofauti yake na magari ya Japan

Duh...aise so sad shida Singapore gari zao zinavutia sana wange kua strict kam Japan wangepiga hela Sana na ile policy yao ya 10 yrs cerficate of ownership
Singapore wanatumia sana gari zao na pia nimeona ubora upo chini kidogo niliikagua Hikux moja ya miaka ya karibuni ya kawaida sana tofauti na Nchi zingine..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…