Naomba ushauri kuhusu Mazda MPV

Mkuu nakusoma sana. Ipo siku nitakutafuta soon nategemea kujoin team mazda
 
Mazda kwa ujumla wake ni gari nzuri na imara sana. Nilikuwa na premacy lakini by then mafundi walikuwa wachache na spare ishu sana. Kuna mwamba mmoja alikuwa na duka la spea za mazda hapo Tabata Matumbi ndo nilikuwa naponea hapo lakini eventually niliuza kishingo upande. Siku hizi though yamekuwa mengi na mambo yamekuwa rahisi kila kitu kinapatikana hela yako tu.
 
Sa hz kwa Dar spare za Mazda sio issue tena
 
Kwa upande wa 2wd ina fuel consuption nzuri zaidi kuliko 4WD , ila inategemea na mazingira kama upo mazingira yenye milima sana na off road muda mwingi chagua yenye 4WD but consuption inashuka kidogo ...ila kwa ujumla ni gari nzuri sana [emoji106]
Inakulaje mkuu,lita moja inaenda mwendo gani?
 
Zaidi ya sana kuanzia mazda versa,premancy,Axela,deminio na baba lao cx5 ...mm nina cx 5 engine 2.2 L inanipa km 18 kwa lita 1 na ton inanipa 16 sababu ya skytive tecnology mazda ziko poa sana
Duh 2.2L na unakupa km 18? Sipatii picha kwa hizi mazda demio 2005 kuja chini itakuwaje, au hizi hazina hiyo teknolojia?
 
Duh 2.2L na unakupa km 18? Sipatii picha kwa hizi mazda demio 2005 kuja chini itakuwaje, au hizi hazina hiyo teknolojia?
Model zote kuanzia 2002 mazda alianza kutumia sykative technology ,nimeona pia Toyota kaanza naye kwa Toyota Epoch ya 2012 .....kwa demio inaenda mpk km 23 kwa lita 1 ,versa inaenda km 20 kwa lita mazda for life
 
Zaidi ya sana kuanzia mazda versa,premancy,Axela,deminio na baba lao cx5 ...mm nina cx 5 engine 2.2 L inanipa km 18 kwa lita 1 na ton inanipa 16 sababu ya skytive tecnology mazda ziko poa sana

Hii CX 5 ya mwaka gani mkuu, engine ya 2.2 bila shaka ni ya diesel?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…