Jeff
JF-Expert Member
- Sep 26, 2009
- 1,293
- 200
Mkuu nakusoma sana. Ipo siku nitakutafuta soon nategemea kujoin team mazdaMagari ya kisasa yana umeme mwingi lengo ni kufanya efficience iwe nzuri zaidi na kutoipa engine kazi nyingi mfano ,kama feni ya rejeta ,water pump ,compresor ya Aic vinapotumia umeme engine inakuwa haina mzigo mkubwa ....hivyo inakupa consuption nzuri Tatizo mafundi bongo michosho sana wavivu kufikiria sana ...shule hawaendi wanataka watu wanunue magari wanayoweza wao huu ni uwenda wazimu