Pirate of Carribean
Senior Member
- Sep 4, 2019
- 116
- 189
Ulikua unatengenezea wapi mkuuMazda kwa ujumla wake ni gari nzuri na imara sana. Nilikuwa na premacy lakini by then mafundi walikuwa wachache na spare ishu sana. Kuna mwamba mmoja alikuwa na duka la spea za mazda hapo Tabata Matumbi ndo nilikuwa naponea hapo lakini eventually niliuza kishingo upande. Siku hizi though yamekuwa mengi na mambo yamekuw rahisi kila kitu kinapatikana hela yako tu.
Kaka spare unachkulia wapi cx5Zaidi ya sana kuanzia mazda versa,premancy,Axela,deminio na baba lao cx5 ...mm nina cx 5 engine 2.2 L inanipa km 18 kwa lita 1 na ton inanipa 16 sababu ya skytive tecnology mazda ziko poa sana
Always nanunua dsm na nikikosa kuna dodoma au naitobi mtaa wa viwandaKaka spare unachkulia wapi cx5
Nataka niagize axela skyactive 1.5 mkuuAlways nanunua dsm na nikikosa kuna dodoma au naitobi mtaa wa viwanda
Vip kuhus upatikanaje wake kwa dar, zinapatika kwa wingi na bei ikoje.?Always nanunua dsm na nikikosa kuna dodoma au naitobi mtaa wa viwanda
Bro we kama unampango wa kununua nunua glbei ya kawaida sana , hazina utofauti na za magari mengineVip kuhus upatikanaje wake kwa dar, zinapatika kwa wingi na bei ikoje.?
Shukran kakaBro we kama unampango wa kununua nunua glbei ya kawaida sana , hazina utofauti na za magari mengine