Pirate of Carribean
Senior Member
- Sep 4, 2019
- 116
- 189
Ulikua unatengenezea wapi mkuuMazda kwa ujumla wake ni gari nzuri na imara sana. Nilikuwa na premacy lakini by then mafundi walikuwa wachache na spare ishu sana. Kuna mwamba mmoja alikuwa na duka la spea za mazda hapo Tabata Matumbi ndo nilikuwa naponea hapo lakini eventually niliuza kishingo upande. Siku hizi though yamekuwa mengi na mambo yamekuw rahisi kila kitu kinapatikana hela yako tu.