kitoto wa vitoto
JF-Expert Member
- Jul 28, 2019
- 375
- 410
Panda tu inakubali
Water table kwa pwani iko juu sanaLakini inanyonya sana maji!!!
Water table kwa pwani iko juu sana
Ndio maana ule msitu wa Forest ukifyekwa na sasa kumejengwa mji Forest Mpya. Kwa pwani hamna shidaHii Milongoti sio rafiki sana kwa mazingira; Kingunge aliharibu kule Mbeya kwa kuhimiza ipandwe kwa wingi na matokeo yake hayakuwa mazuri!!!
Ndio maana ule msitu wa Forest ukifyekwa na sasa kumejengwa mji Forest Mpya. Kwa pwani hamna shidaHii Milongoti sio rafiki sana kwa mazingira; Kingunge aliharibu kule Mbeya kwa kuhimiza ipandwe kwa wingi na matokeo yake hayakuwa mazuri!!!
Asante kakaPanda tu inakubali
Asante sanaPanda
SawaWater table kwa pwani iko juu sana
Kwa hiyo kaka we unashaurijeHii Milongoti sio rafiki sana kwa mazingira; Kingunge aliharibu kule Mbeya kwa kuhimiza ipandwe kwa wingi na matokeo yake hayakuwa mazuri!!!
Kuna kipindi hii miti ilipigwa marufuku hususani karibu na maeneo ya majiWadau na wataalamu nawasalimu kwa pamoja,
Nina kashamba kangu mahali mkoa wa pwani Kama heka 20.
Nafikiria huu msimu wa mvua nipeleke huko miti michache nikaoteshe kuzunguka eneo lote sasa mm nimewaza niioteshe miti aina ya eucalyptus.
Je, Inastawi eneo la pwani?
Pia miti hiyo imeruhusiwa kuoteshwa na mtu yeyote?
Kwa yeyote mwenye ushauri wa ziada namkaribisha
View attachment 2034387View attachment 2034388View attachment 2034389
Hii miti haifai. Kaam ni bianadamu tungeiita wabinafsi au wachoyo. Inatumia maji mengi sana kiasi kwamba mimea mingine eneo husika inaweza isipate maji ya kuistawisha. Inalifanya eneo kuwa kame maana inaenda chini sana mizizi yake kutafuta maji.Wadau na wataalamu nawasalimu kwa pamoja,
Nina kashamba kangu mahali mkoa wa pwani Kama heka 20.
Nafikiria huu msimu wa mvua nipeleke huko miti michache nikaoteshe kuzunguka eneo lote sasa mm nimewaza niioteshe miti aina ya eucalyptus.
Je, Inastawi eneo la pwani?
Pia miti hiyo imeruhusiwa kuoteshwa na mtu yeyote?
Kwa yeyote mwenye ushauri wa ziada namkaribisha
View attachment 2034387View attachment 2034388View attachment 2034389
Asante sana mkuuKuna kipindi hii miti ilipigwa marufuku hususani karibu na maeneo ya maji
Kwanini usioteshe Miche ya matunda....fikiria ...MACHUNGWA,,,NDIMU.....LIMAO....hii itakupa tija kwa muda mfupi
Pambana kidogo kidogo....utatoboa
Ila mkuu, kilimo na ufugaji kwa scale ya mkulima au Mfugaji Mdogo na wakati ni changamoto saana.. tena saana unatakiwa ujipange sio kidogo,,,,otherwise utafilisika
Nikushirikishe machache
1- Kuna wafugaji kuingiza shambani kwako mifugo..
2-Kuna viongozi wa ......vijiji....... na vitongoji......majirani..... ukishaanza shughuli hawachoki kila siku kukupigia simu na kuanza kukuomba uwape bila kukufanyia lolote.....
3. Waangalii wa shamba ...hawa wamekuwa ni changamoto saana wengi ni waongo..wezi ......wanatamaa..usipokuwa makini unaweza filisi mshaaaaaaahara wako....kama unawekeza kwa kutumia Mshahara
4.Kama Eneo lako lipo isolated.. kuna changamoto ya MOTO kipindi cha kiangazi..wafugaji lazima wachome moto ili wapate majani ya mifugo
Mengine wazoefu zaidi watasema
Kila la kheri .....ila tambua akili za kuambiwa changanya na za kwako
Ushauri wangu...kuwa na malengo dhabiti pambana kidogo kidogo
Sawa mkuu nimekuelewa ila naotesha pemben mwa shamba tu siyo shamba zimaHii miti haifai. Kaam ni bianadamu tungeiita wabinafsi au wachoyo. Inatumia maji mengi sana kiasi kwamba mimea mingine eneo husika inaweza isipate maji ya kuistawisha. Inalifanya eneo kuwa kame maana inaenda chini sana mizizi yake kutafuta maji.
Nashangaa hata serikali inatuhusu vipi miti hii ipandwe kiholela.
Hii miti mara nyingi inatakiwa ipandwe eneo oevu au lenye maji ili kukausha maji eneo husika na baada ya kufikia lengo inakatwa ili kuendelea na yaliyokusudiwa.
Sikushauri kupanda hiyo miti ikiwa una lengo la kufanya kilimo cha mazao mengine zaidi ya mbao kwenye hilo shamba.
Wewe otesha wakila matunda si bado mti utabaki???Asante sana mkuu
Matunda nilifikiria ila mm nakaa mbali
Nikaona bora miti pia nilimie pemben na pemben ili moto ukija isivuke
Ila nshukuru kwa mchango wako