Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana ule msitu wa Forest ukifyekwa na sasa kumejengwa mji Forest Mpya. Kwa pwani hamna shida
Minazi mifupi ikizaa inaibwa sanaa, nafuu miembe na parachichi ya muda mfupi apate na kivuli pia.Panda miembe au minazi ile mifupi
Mimi sikushauri upande Eucalyptus kabisa kwasababu itavyonza maji mengi sana ardhini, Hata ukiotesha zao lingine pembeni kwa mfano ndizi, mahindi n.k haistawi vizuri kwasababu ya hii miti kuvyonza majimaji, mbolea na ubaridi ardhini kupitia mizizi yake mirefu sana.Wadau na wataalamu nawasalimu kwa pamoja,
Nina kashamba kangu mahali mkoa wa pwani Kama heka 20.
Nafikiria huu msimu wa mvua nipeleke huko miti michache nikaoteshe kuzunguka eneo lote sasa mm nimewaza niioteshe miti aina ya eucalyptus.
Je, Inastawi eneo la pwani?
Pia miti hiyo imeruhusiwa kuoteshwa na mtu yeyote?
Kwa yeyote mwenye ushauri wa ziada namkaribisha
View attachment 2034387View attachment 2034388View attachment 2034389
SawaWewe otesha wakila matunda si bado mti utabaki???
Asante sana mkuuNakushauri upande miti aina ya mitiki (Tectona grandis) huko kuzunguka shamba kwani baadae utauza kwa bei nzuri kuliko mikaratusi (eucalyptus).
Sawa kakaPanda mitiki au miti ya matunda ata wakifaidika majirani ni faida pia, achana kabisa na hiyo miti labda kama hutapalima tena.
Amani iwe nawe.
Amina mkuuPanda mitiki au miti ya matunda ata wakifaidika majirani ni faida pia, achana kabisa na hiyo miti labda kama hutapalima tena.
Amani iwe nawe.
Ivi parachichi inastawi pwani?Minazi mifupi ikizaa inaibwa sanaa, nafuu miembe na parachichi ya muda mfupi apate na kivuli pia.
Asante sana mkuuMimi sikushauri upande Eucalyptus kabisa kwasababu itavyonza maji mengi sana ardhini, Hata ukiotesha zao lingine pembeni kwa mfano ndizi, mahindi n.k haistawi vizuri kwasababu ya hii miti kuvyonza majimaji, mbolea na ubaridi ardhini kupitia mizizi yake mirefu sana.
Kule Ugweno na Usangi wilaya ya Mwanga kuna Mzungu mmarekani ndio aliipeleka kule miaka mingi iliyopita ili watu wapate kuni (kwasababu ina kuni nzuri sana na inawaka Hata ikiwa mbichi)
Lakini leo hii ukienda huko Ugweno utaona jinsi ardhi isivyo na rutuba na imekaukaa hata upande mbegu nzuri ya mazao ni holaa na ardhi haina mbolea
Hata Mijohoro ina tabia hii
Sawa mkuuAchana nayo,panda mitiki
Panda miti ya matunda au miti mingine lakini SI MIKARATUSI ( EUCALYPTUS) Ina /hufanya ardhibuwa kameKwa hiyo kaka we unashaurije
Very sad. CCM imehujumu Sana mkoa was Mbeya. Hawakutaka hata kuupangilia kwa ustadi. Mji wa mkoloni ndio uliopangwa vyema ambao ni Majengo, Mbata, Ghana, Soko Matola, Uzunguni na Uhindini. Miiji ya Forest, Jacaranda, Block T, Q, Sae, na Ilomba iimepangwa lakini si kwa umahiri.Kufyeka ile forest yote lilikuwa kosa kubwa kwani Mbeya ikaharibika na kuwa mji wenye vumbi ambalo huko nyuma halikuwepo!!! Kwani mji usingweza kujengwa katikati ya miti?
Mbeya imehujumiwa sana toka zamani na wale waliokuwa wanaletwa kama Wakuu wa mkoa!! Marwa shemeji yake Nyerere alikuja na kuharibu kiwanja cha golf kilichokuwa kizuri kuliko vyote East and central Africa!!!
panda mitiki siyo hii mikaratusi.....Wadau na wataalamu nawasalimu kwa pamoja,
Nina kashamba kangu mahali mkoa wa pwani Kama heka 20.
Nafikiria huu msimu wa mvua nipeleke huko miti michache nikaoteshe kuzunguka eneo lote sasa mm nimewaza niioteshe miti aina ya eucalyptus.
Je, Inastawi eneo la pwani?
Pia miti hiyo imeruhusiwa kuoteshwa na mtu yeyote?
Kwa yeyote mwenye ushauri wa ziada namkaribisha
View attachment 2034387View attachment 2034388View attachment 2034389