Naomba ushauri kuhusu miti ya Eucalyptus

Ndio maana ule msitu wa Forest ukifyekwa na sasa kumejengwa mji Forest Mpya. Kwa pwani hamna shida

Kufyeka ile forest yote lilikuwa kosa kubwa kwani Mbeya ikaharibika na kuwa mji wenye vumbi ambalo huko nyuma halikuwepo!!! Kwani mji usingweza kujengwa katikati ya miti?
Mbeya imehujumiwa sana toka zamani na wale waliokuwa wanaletwa kama Wakuu wa mkoa!! Marwa shemeji yake Nyerere alikuja na kuharibu kiwanja cha golf kilichokuwa kizuri kuliko vyote East and central Africa!!!

Sas hivi mkwere anasuka mipango ili branch ya UDSM iliyoko Mbeya ihamishiwe kwao Chalinze kwa kisingizo kuwa Mkoa wa Mbeya umeshindwa kutenga sehemu ya kutosheleza ujenzi tarajiwa wa Chuo!!! Kwa Jina la YESU ashindwe na hiyo mipango yake ififie.
 
Miti mibaya sana hiyo...Haifaiii inaharibu Ardhi moja kwa Moja na Pia Inakausha maji si upande miti mingine??
 
Wadau na wataalamu nawasalimu kwa pamoja,

Nina kashamba kangu mahali mkoa wa pwani Kama heka 20.

Nafikiria huu msimu wa mvua nipeleke huko miti michache nikaoteshe kuzunguka eneo lote sasa mm nimewaza niioteshe miti aina ya eucalyptus.

Je, Inastawi eneo la pwani?

Pia miti hiyo imeruhusiwa kuoteshwa na mtu yeyote?

Kwa yeyote mwenye ushauri wa ziada namkaribisha

View attachment 2034387View attachment 2034388View attachment 2034389
Mimi sikushauri upande Eucalyptus kabisa kwasababu itavyonza maji mengi sana ardhini, Hata ukiotesha zao lingine pembeni kwa mfano ndizi, mahindi n.k haistawi vizuri kwasababu ya hii miti kuvyonza majimaji, mbolea na ubaridi ardhini kupitia mizizi yake mirefu sana.

Kule Ugweno na Usangi wilaya ya Mwanga kuna Mzungu mmarekani ndio aliipeleka kule miaka mingi iliyopita ili watu wapate kuni (kwasababu ina kuni nzuri sana na inawaka Hata ikiwa mbichi)

Lakini leo hii ukienda huko Ugweno utaona jinsi ardhi isivyo na rutuba na imekaukaa hata upande mbegu nzuri ya mazao ni holaa na ardhi haina mbolea

Hata Mijohoro ina tabia hii
 
Asante sana mkuu
 
Ni miti mizuri kwa kutengeneza veneers ambazo zinatumika kutengeneza plywood ambazo zimeuzwa sana nje (hasa China, Vietnamn na India) kipindi cha hivi karibuni.
 
Kufyeka ile forest yote lilikuwa kosa kubwa kwani Mbeya ikaharibika na kuwa mji wenye vumbi ambalo huko nyuma halikuwepo!!! Kwani mji usingweza kujengwa katikati ya miti?
Mbeya imehujumiwa sana toka zamani na wale waliokuwa wanaletwa kama Wakuu wa mkoa!! Marwa shemeji yake Nyerere alikuja na kuharibu kiwanja cha golf kilichokuwa kizuri kuliko vyote East and central Africa!!!
Very sad. CCM imehujumu Sana mkoa was Mbeya. Hawakutaka hata kuupangilia kwa ustadi. Mji wa mkoloni ndio uliopangwa vyema ambao ni Majengo, Mbata, Ghana, Soko Matola, Uzunguni na Uhindini. Miiji ya Forest, Jacaranda, Block T, Q, Sae, na Ilomba iimepangwa lakini si kwa umahiri.

Kwingine ni takataka.
 
Panda white teak (mfudufudu).Inakua vizuri ukanda wa pwani tofauti na mitiki tuliyozoea
 
Wadau na wataalamu nawasalimu kwa pamoja,

Nina kashamba kangu mahali mkoa wa pwani Kama heka 20.

Nafikiria huu msimu wa mvua nipeleke huko miti michache nikaoteshe kuzunguka eneo lote sasa mm nimewaza niioteshe miti aina ya eucalyptus.

Je, Inastawi eneo la pwani?

Pia miti hiyo imeruhusiwa kuoteshwa na mtu yeyote?

Kwa yeyote mwenye ushauri wa ziada namkaribisha

View attachment 2034387View attachment 2034388View attachment 2034389
panda mitiki siyo hii mikaratusi.....
 
Back
Top Bottom