Naomba ushauri kuhusu ofa ya mshahara

Naomba ushauri kuhusu ofa ya mshahara

Melancholic

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2018
Posts
3,076
Reaction score
5,483
Wakuu hope mmeamka salama.

Nina jambo kidogo nahitaji ushauri ndugu zangu, Mimi ni kijana wa kiume ni mkaz wa Dar es salaam ila kwa sasa nipo mkoa wa pwani kibaha nimejiriwa na mtu binafsi tunalipana kwa % yeye anachuka 40% mimi nachukua 60% na pia kaniamini kwa kiasi kikubwa sana na kabla sijapata room huku kibaha kwa siku za mwanzo nilikuwa naishi kwake mpaka nilivyopata pesa ya kutosha ndio nikapanga room mpaka sasa tunafanya kazi pamoja na upendo.

Pale malipo kwa mwezi huwa inarange laki 7, laki 6 au laki 5 inategemea na mzunguko wa wateja kifupi kukunja 40k kwa siku ni jambo la kawaida.

Sasa tukiachana na hilo pia kuna kampuni X ya wahindi ipo masaki kuna mtu aliwapa info zangu wakanichek lengo ni kufanya kazi nao basi nikaenda ofisini kwao tukazungumza wakanifanyia interview mbili nikafaulu vzr wakasema wameridhishwa namimi so wanaomba tufanye kazi nikawambia sawa ila mjue mimi nimeajiriwa mahali so ni vema mnipe offer yenu nione kama ina maslahi wakasema aina tatzo nirudi tu home HR atanichek kwa Email yangu nikasema poa.

Kesho yake asubuhi HR akanichek anaomba nimtumie details zangu aniandikie mkataba nikawauliza why ntume taarifa zangu mniandikie mkataba wakati bado sijaskia offer yenu nikawaambi kwa navyofaham mimi hizi huwa ni process za mwisho kabisa baada ya kukubalia wakasema sawa tutakupa offer yetu.

Baadae HR akanichek akaniambia offer yao ni 400k kwa mwezi nikachomoa sasa baadae simu zikawa nyingi wahindi wanapiga simu hao wakiniomba nikubali kufanya nao kazi sababu hata kama mshahara sio mkubwa sana ila wananipa mkataba wa mwaka mmoja nikachomoa nikawambia wekeni 500k mezani wakasema ngoja wakadiscus jibu likaja kuwa sababu ndio kwanza ninaanza na utendaji wangu wa kazi awaujui so ni vema nianze tu na hiyo 400k nikakataa.

Ikapita kama siku tatu jana meneja wao wa mauzo ni mdada akanipigia tena anaomba niende kufanya nao kazi na niseme pesa nayotaka kulipwa ukiachana na hiyo 400k. Nikamwabia nitakutafuta nkitulia sasa wakuu ebu naombeni mnishauri nipange mshahara kiasi gani sababu hata hiyo 500k naiona ndogo kulingana na kazi nitakazokuwa nafanya halafu kwa huku nilipo naiingiza tu wala siangaiki sana na kazi ni chache japo ni kweli sina mkataba.

Naombeni ushauri wa mapana hapo kazi ipi ni bora zaidi hata hata kama mishahara inaweza kuwa sawa.

Na vp kwa watu mnaofanya kazi kwenye taasisi mbalimbali au serikali mtu anaelipwa 500k ukitoa makato ya serikali na Nssf sijui unaweza kubaki na bei gani? Poleni kwa maelezo marefu nipo hapa nasubiri maoni yenu.
 
Waambie unataka 600k watabargain mpaka 550k then nenda ukatumike kwa muhindi kama punda na hata hiyo offer utakayokubaliana nao utaiona kama shubiri. Muhindi muache tu.

Natamani kutoka kwenye ajira ila kiuhalisia sina nyenzo ila nikizipata nachomoka chapu kwa haraka.
 
Ukichukua kazi ya muhindi mahesabu tufanye Nauli kwa siku ni sh 4000 kwa mwezi sh 120,0000, msosi asubuhi sh 1500, mchana 3500 na usiku 3500 jumla 8500 tufanye sh 9000 kwa mwezi sh 270,000, vocha kwa mwez 10000, kodi kwa mwez 50,000, emergency sh 100,000 kwa mwez ( umeumwa au ndugu kaumwa nk) ...jumla matumizi sh 550,000/- . Kwa hiyo hao wahindi waombe atlist laki 8 wakishuka 7.
 
Kabla hujaacha kazi unayofanya sasa, jiulize una sababu ipi ya wewe kuacha kazi yako ya sasa?
Waswahili wanasema usiteme big G kwa karanga za kuonjeshwa.
Naamini unachopata hapo kinakidhi mahitaji yako, now days one mistake inakuondoa mchezoni,unakaa bench miaka 10. Mshukuru Mungu una kazi no boss wako anakupa uhuru ambao hutaweza kuupata kwa wahindi.
Hivi kwanza ulishawahi kufanya kazi na wahindi wewe? Usiache hiyo kazi yako ya sasa.
 
Wakuu hope mmeamka salama.

Nina jambo kidogo nahitaji ushauri ndugu zangu, Mimi ni kijana wa kiume ni mkaz wa Dar es salaam ila kwa sasa nipo mkoa wa pwani kibaha nimejiriwa na mtu binafsi tunalipana kwa % yeye anachuka 40% mimi nachukua 60% na pia kaniamini kwa kiasi kikubwa sana na kabla sijapata room huku kibaha kwa siku za mwanzo nilikuwa naishi kwake mpaka nilivyopata pesa ya kutosha ndio nikapanga room mpaka sasa tunafanya kazi pamoja na upendo.

Pale malipo kwa mwezi huwa inarange laki 7, laki 6 au laki 5 inategemea na mzunguko wa wateja kifupi kukunja 40k kwa siku ni jambo la kawaida.

Sasa tukiachana na hilo pia kuna kampuni X ya wahindi ipo masaki kuna mtu aliwapa info zangu wakanichek lengo ni kufanya kazi nao basi nikaenda ofisini kwao tukazungumza wakanifanyia interview mbili nikafaulu vzr wakasema wameridhishwa namimi so wanaomba tufanye kazi nikawambia sawa ila mjue mimi nimeajiriwa mahali so ni vema mnipe offer yenu nione kama ina maslahi wakasema aina tatzo nirudi tu home HR atanichek kwa Email yangu nikasema poa.

Kesho yake asubuhi HR akanichek anaomba nimtumie details zangu aniandikie mkataba nikawauliza why ntume taarifa zangu mniandikie mkataba wakati bado sijaskia offer yenu nikawaambi kwa navyofaham mimi hizi huwa ni process za mwisho kabisa baada ya kukubalia wakasema sawa tutakupa offer yetu.

Baadae HR akanichek akaniambia offer yao ni 400k kwa mwezi nikachomoa sasa baadae simu zikawa nyingi wahindi wanapiga simu hao wakiniomba nikubali kufanya nao kazi sababu hata kama mshahara sio mkubwa sana ila wananipa mkataba wa mwaka mmoja nikachomoa nikawambia wekeni 500k mezani wakasema ngoja wakadiscus jibu likaja kuwa sababu ndio kwanza ninaanza na utendaji wangu wa kazi awaujui so ni vema nianze tu na hiyo 400k nikakataa.

Ikapita kama siku tatu jana meneja wao wa mauzo ni mdada akanipigia tena anaomba niende kufanya nao kazi na niseme pesa nayotaka kulipwa ukiachana na hiyo 400k. Nikamwabia nitakutafuta nkitulia sasa wakuu ebu naombeni mnishauri nipange mshahara kiasi gani sababu hata hiyo 500k naiona ndogo kulingana na kazi nitakazokuwa nafanya halafu kwa huku nilipo naiingiza tu wala siangaiki sana na kazi ni chache japo ni kweli sina mkataba.

Naombeni ushauri wa mapana hapo kazi ipi ni bora zaidi hata hata kama mishahara inaweza kuwa sawa.

Na vp kwa watu mnaofanya kazi kwenye taasisi mbalimbali au serikali mtu anaelipwa 500k ukitoa makato ya serikali na Nssf sijui unaweza kubaki na bei gani? Poleni kwa maelezo marefu nipo hapa nasubiri maoni yenu.
"kukunja 40k kwa siku ni jambo la kawaida.".

Maana yake nini? Kuiba elfu 40 kila siku?
 
Nssf utatoa 10% na muajiri anatoa ten 10 % hiyo kata 50000 baada ya hapo serikali wanakata Kodi kama elfu 20+ uko definitely utabaki na shilling 440,000 hivi Kwa mazingira ya dar angalia umbali wa safari hadi job inaweza kuwa kubwa, ndogo na wastani pia cheki uhuru wako wakufanya mambo mengine ya ziada kama upo
Wakuu hope mmeamka salama.

Nina jambo kidogo nahitaji ushauri ndugu zangu, Mimi ni kijana wa kiume ni mkaz wa Dar es salaam ila kwa sasa nipo mkoa wa pwani kibaha nimejiriwa na mtu binafsi tunalipana kwa % yeye anachuka 40% mimi nachukua 60% na pia kaniamini kwa kiasi kikubwa sana na kabla sijapata room huku kibaha kwa siku za mwanzo nilikuwa naishi kwake mpaka nilivyopata pesa ya kutosha ndio nikapanga room mpaka sasa tunafanya kazi pamoja na upendo.

Pale malipo kwa mwezi huwa inarange laki 7, laki 6 au laki 5 inategemea na mzunguko wa wateja kifupi kukunja 40k kwa siku ni jambo la kawaida.

Sasa tukiachana na hilo pia kuna kampuni X ya wahindi ipo masaki kuna mtu aliwapa info zangu wakanichek lengo ni kufanya kazi nao basi nikaenda ofisini kwao tukazungumza wakanifanyia interview mbili nikafaulu vzr wakasema wameridhishwa namimi so wanaomba tufanye kazi nikawambia sawa ila mjue mimi nimeajiriwa mahali so ni vema mnipe offer yenu nione kama ina maslahi wakasema aina tatzo nirudi tu home HR atanichek kwa Email yangu nikasema poa.

Kesho yake asubuhi HR akanichek anaomba nimtumie details zangu aniandikie mkataba nikawauliza why ntume taarifa zangu mniandikie mkataba wakati bado sijaskia offer yenu nikawaambi kwa navyofaham mimi hizi huwa ni process za mwisho kabisa baada ya kukubalia wakasema sawa tutakupa offer yetu.

Baadae HR akanichek akaniambia offer yao ni 400k kwa mwezi nikachomoa sasa baadae simu zikawa nyingi wahindi wanapiga simu hao wakiniomba nikubali kufanya nao kazi sababu hata kama mshahara sio mkubwa sana ila wananipa mkataba wa mwaka mmoja nikachomoa nikawambia wekeni 500k mezani wakasema ngoja wakadiscus jibu likaja kuwa sababu ndio kwanza ninaanza na utendaji wangu wa kazi awaujui so ni vema nianze tu na hiyo 400k nikakataa.

Ikapita kama siku tatu jana meneja wao wa mauzo ni mdada akanipigia tena anaomba niende kufanya nao kazi na niseme pesa nayotaka kulipwa ukiachana na hiyo 400k. Nikamwabia nitakutafuta nkitulia sasa wakuu ebu naombeni mnishauri nipange mshahara kiasi gani sababu hata hiyo 500k naiona ndogo kulingana na kazi nitakazokuwa nafanya halafu kwa huku nilipo naiingiza tu wala siangaiki sana na kazi ni chache japo ni kweli sina mkataba.

Naombeni ushauri wa mapana hapo kazi ipi ni bora zaidi hata hata kama mishahara inaweza kuwa sawa.

Na vp kwa watu mnaofanya kazi kwenye taasisi mbalimbali au serikali mtu anaelipwa 500k ukitoa makato ya serikali na Nssf sijui unaweza kubaki na bei gani? Poleni kwa maelezo marefu nipo hapa nasubiri maoni yenu.
 
Daah kazi zakuajiriwa zinachangamoto sana.
Ila binafsi yangu kwamaelezo yako nilivyo yasoma hapo ulipo ajiriwa panakufaa sana kwakua unaonekana unayo amani na umekiri huna tatizo na boss wako.
Kwanini unataka kutoka kwamazingira ambayo inaonekana kwamba mshahara nisawasawa!!
Achana namambo yamkataba kazini angalia amani kazini.
Wahindi wengi hawana Amani kabisa kabisa hua naona wanavyo wapeleka wafanya kazi wao kama punda.
 
Back
Top Bottom