Naomba ushauri kuhusu ofa ya mshahara

Naomba ushauri kuhusu ofa ya mshahara

Usiende kwa muhindi ata akilanda dau akasema 700k.

Huko ulipo Kibaha mbali na mshahara mnono, jamaa anaonekana ana utu. Imagine hadi alikubaki uishi kwake, ni nni anaweza kufanya ivyo?

Hao wahindi siku ukipata ata emergency haujaenda kazini weeknlets day unaumwa au matatizo ya kifamilia watakata siku za malipo.

Endelea kufanya kazi Kibaha, hauna gharama kubwa za maisha na unazidi kujenga CV nzuri.

Endeleza pia uhaminifu si unaona wenyewe wameanza kukutafuta kwasababu ya uhaminifu na uchapa kazi.
 
Daah kazi zakuajiriwa zinachangamoto sana.
Ila binafsi yangu kwamaelezo yako nilivyo yasoma hapo ulipo ajiriwa panakufaa sana kwakua unaonekana unayo amani na umekiri huna tatizo na boss wako.
Kwanini unataka kutoka kwamazingira ambayo inaonekana kwamba mshahara nisawasawa!!
Achana namambo yamkataba kazini angalia amani kazini.
Wahindi wengi hawana Amani kabisa kabisa hua naona wanavyo wapeleka wafanya kazi wao kama punda.
Nimekuelewa mkuu nitazingatia ushauri
 
Yaani hapo ulipo minimum ni 500K na hiyo hiyo minimum ndiyo unawaambia watu wakulipe kwa mkataba?

Hata hujawaambia kama utapata bima na allowance zingine?

Kazi hujaisema ili tujue kama inaweza kukupa kitu zaidi ya mshahara.

Kwa mtu ambaye una sehemu unatengeneza pesa ambayo determinant ni jinsi unavyofanya kazi 500K ni ndogo mno kulipwa kwa mkataba.

I hope utaona hili
 
Wakuu hope mmeamka salama.

Nina jambo kidogo nahitaji ushauri ndugu zangu, Mimi ni kijana wa kiume ni mkaz wa Dar es salaam ila kwa sasa nipo mkoa wa pwani kibaha nimejiriwa na mtu binafsi tunalipana kwa % yeye anachuka 40% mimi nachukua 60% na pia kaniamini kwa kiasi kikubwa sana na kabla sijapata room huku kibaha kwa siku za mwanzo nilikuwa naishi kwake mpaka nilivyopata pesa ya kutosha ndio nikapanga room mpaka sasa tunafanya kazi pamoja na upendo.

Pale malipo kwa mwezi huwa inarange laki 7, laki 6 au laki 5 inategemea na mzunguko wa wateja kifupi kukunja 40k kwa siku ni jambo la kawaida.

Sasa tukiachana na hilo pia kuna kampuni X ya wahindi ipo masaki kuna mtu aliwapa info zangu wakanichek lengo ni kufanya kazi nao basi nikaenda ofisini kwao tukazungumza wakanifanyia interview mbili nikafaulu vzr wakasema wameridhishwa namimi so wanaomba tufanye kazi nikawambia sawa ila mjue mimi nimeajiriwa mahali so ni vema mnipe offer yenu nione kama ina maslahi wakasema aina tatzo nirudi tu home HR atanichek kwa Email yangu nikasema poa.

Kesho yake asubuhi HR akanichek anaomba nimtumie details zangu aniandikie mkataba nikawauliza why ntume taarifa zangu mniandikie mkataba wakati bado sijaskia offer yenu nikawaambi kwa navyofaham mimi hizi huwa ni process za mwisho kabisa baada ya kukubalia wakasema sawa tutakupa offer yetu.

Baadae HR akanichek akaniambia offer yao ni 400k kwa mwezi nikachomoa sasa baadae simu zikawa nyingi wahindi wanapiga simu hao wakiniomba nikubali kufanya nao kazi sababu hata kama mshahara sio mkubwa sana ila wananipa mkataba wa mwaka mmoja nikachomoa nikawambia wekeni 500k mezani wakasema ngoja wakadiscus jibu likaja kuwa sababu ndio kwanza ninaanza na utendaji wangu wa kazi awaujui so ni vema nianze tu na hiyo 400k nikakataa.

Ikapita kama siku tatu jana meneja wao wa mauzo ni mdada akanipigia tena anaomba niende kufanya nao kazi na niseme pesa nayotaka kulipwa ukiachana na hiyo 400k. Nikamwabia nitakutafuta nkitulia sasa wakuu ebu naombeni mnishauri nipange mshahara kiasi gani sababu hata hiyo 500k naiona ndogo kulingana na kazi nitakazokuwa nafanya halafu kwa huku nilipo naiingiza tu wala siangaiki sana na kazi ni chache japo ni kweli sina mkataba.

Naombeni ushauri wa mapana hapo kazi ipi ni bora zaidi hata hata kama mishahara inaweza kuwa sawa.

Na vp kwa watu mnaofanya kazi kwenye taasisi mbalimbali au serikali mtu anaelipwa 500k ukitoa makato ya serikali na Nssf sijui unaweza kubaki na bei gani? Poleni kwa maelezo marefu nipo hapa nasubiri maoni yenu.
Tulia halo ulipo.Kama unpat 40k kwa Sikh au 700k ya in uende kwenye 500k? Wahindi watakunyanyasa na watakutumua so muda.
 
Mkuu wanakuitia kazi tu au kuna mengine? Mbona kama wamekukomalia sana isivyo kawaida?
Watch it
 
Wahindi wana akili sana, kukupita wewe usiye mhindi. Hata uikiwaibia wanajifanya hawajui, kumbe washapiga hesabu mpaka za kuibiwa, wanakutumikisha ni lazima ulipe japo indirectly.

Ndiyo maaana mnaopenda wizi hamuwapendi wahindi.
Watu wavivu wanawachukia sana wahindi.....Ila Wahindi wako smart sana linapokuja swala la Kazi.

Kwanza Wahindi hawana mademu wala hawaoi wale wenhi
 
sasa Melancholic mbona unapotea umesema hapo unapofanya kazi sahivi kwa siku hukosi 40,000 hii ukikusanya kwa wiki moja unapata kama 200,000 ukifika mwezi ni kama 700,000..wahindi wanataka wakupe mkataba wa mwaka mmoja (wanaweza wasikuongeze tena) kwa mshahara wa 400,000 kwa mwezi..utakuwa bonge la mjinga ukikubali ofa yao yaani uache zaidi ya laki saba alafu ukachukue laki nne kwa mwezi.! mm nakushauri hao wahindi achana nao ukiona wanakung'ang'ania sana basi jua mambo ya nyota yanahusika lazima utakuwa na kipawa unacho ujijui tu washakuchunguza kiroho
 
Yaani hapo ulipo minimum ni 500K na hiyo hiyo minimum ndiyo unawaambia watu wakulipe kwa mkataba?

Hata hujawaambia kama utapata bima na allowance zingine?

Kazi hujaisema ili tujue kama inaweza kukupa kitu zaidi ya mshahara.

Kwa mtu ambaye una sehemu unatengeneza pesa ambayo determinant ni jinsi unavyofanya kazi 500K ni ndogo mno kulipwa kwa mkataba.

I hope utaona hili
kazi ya kwa wahindi mbona kaitaja kasema ni ya kuuza duka la simu refurbished toka hong kong na dubai
 
Hapana namaanisha pesa nayolipwa pale kwa siku
Usinijibu kijingq, mimi sijaenda shule kusomea ujinga.

Kajisome upya, umesema "...mimi nachukua 60% na... kwa mwezi huwa inarange laki 7, laki 6 au laki 5 inategemea na mzunguko"..."kukunja 40k kwa siku ni jambo la kawaida."

Sasa 40 kwa siku ndiyo hesabu yake hiyo laki 5 au 6 au 7 uliyoandika?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Ukichukua kazi ya muhindi mahesabu tufanye Nauli kwa siku ni sh 4000 kwa mwezi sh 120,0000, msosi asubuhi sh 1500, mchana 3500 na usiku 3500 jumla 8500 tufanye sh 9000 kwa mwezi sh 270,000, vocha kwa mwez 10000, kodi kwa mwez 50,000, emergency sh 100,000 kwa mwez ( umeumwa au ndugu kaumwa nk) ...jumla matumizi sh 550,000/- . Kwa hiyo hao wahindi waombe atlist laki 8 wakishuka 7.
Shukrani
 
Mtanzania anaiba halafu anakuja kutafuta ushauri kwenye mitandao ya kijamii?

Hii nchi maendeleo tusahau kabisa.
Sasa mtanzania gani alieiba mbona unaropoka vitu usivyovijua faiza wewe ni mkubwa sana kwa hiki unachokifanya
 
Naona kazi unayofanya kwa sasa is more of partnership than boss na mwajiriwa. Pia kazi ya sasa una opportunity ya kukua na kuwa na business yako mwenyewe kuliko kwa mhindi. Hivyo baki huko huko kwa mhindi usiende hata wakupe offer ya 700k mkuu.
Shukran mkuu nalibeba hili kama lilivyo
 
Back
Top Bottom