angel_papaa
New Member
- May 4, 2023
- 3
- 3
Kabla ya kuingia kwenye share, vitu gani lazima vizingatiwe???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukran mkuu 🙏Acha tamaa mkuu!
Shukran mkuu 🙏Nakushauri uongee vizuri na huyo dada yako kisha mpange ratiba vizuri.
Hayo yote uliyotuelekeza hapa (Kuhusu kufuata wateja na wewe kuwa mtafutaji mkuu) unaweza kutafuta namna nzuri ya kuongea nae ili asikuelewe vibaya.
Naamini mkikubaliana vizuri mtaenda sawa