Naomba ushauri kuhusu tablets zenye keyboard na mouse.

Kama unataka ku type kwanini usitafute Laptop mahususi ya kazi hizo? Vile vi keyboard vya Tablet vitakutesa.

Unatumia software ama Os gani kufanya kazi zako?
"Vile vi keyboard vya Tablet vitakutesa"

Nimekuelewa mtaalam. Niliona matangazo yake so ikabidi niombe ushauri.
 
Je, ni ipi Ni imara na inafaa kwa kazi ndogondogo za Ofisi, kama typing na internet?

Ikiwezekana na bei zikoje?
Asante.
nunia device ya kukuwezesha kuunga mouse au keyboard. Kanauzwa 5000
 
Kama unataka ku type kwanini usitafute Laptop mahususi ya kazi hizo? Vile vi keyboard vya Tablet vitakutesa.

Unatumia software ama Os gani kufanya kazi zako?
Vinatesa vip Mkuu..
Kuna zile zenye window kwa kutype vitafaa..hizi anazosema zina wps tu ambapo zina limit
 
Sio clickable sana huwezi kutype kwa muda mrefu. Keyboard zake ni kwa ajili ya casual users tu. Na issue ni keyboard husika na sio OS.
Nje ya mada: hivi mkuu kwa ulimwengu wa sasa, kazi na faida za tablet ni zipi kama tayari unamiliki smartphone na laptop?
 
Kama una smartphone na laptop tablet inabaki niche, kama kusomea hasa Comics kama Manga, Kuchorea kama una kipaji hicho, kuplay play videos ama kutumia vitu vingine vya simu kwenye kioo kikubwa.
 
Asante mkuu.
 
Back
Top Bottom