Naomba ushauri kuhusu tatizo la pingili za uti wa mgongo

Sio kwa father kweli? Kama ni kwa father huyo kweli anasaidia sana. Sijawah kufika physically ila najua kua anatibu sana. Kuna watu wametibiwa mpaka kansa
Ndio kwa uyouyo dia kwa fadher anatibu sana watu mm tofauti na mgongo pia kuna kipindi nlichomwa sindano ya maralia hospital nikapata aleji nikatoka vipele vinavowasha mwili mzima nikaenda kwa fadher akanipa dawa yaan nlikua sijalala siku tatu iyo siku napewa dawa hapo kwa fadher nlivokunywa tu hapohapo nikapona sikuamin pia ashanitib nlikua na uti sugu na typhoid sugu kupitia dawa zake nlipona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuweke wazi hiyo 5 na 6..na sisi tujifunze!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuweke wazi hiyo 5 na 6..na sisi tujifunze!

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo ni wazazi kuzuia watoto wasitoke kujichanganya na wenzao, ikitokea mtoto katoka bila kuaga janga litakalompata huko hatosema nyumbani Kwa kuhofia kupigwa, ndivyo ilivyokuwa kwangu nilianguka na niliumia sehemu ya mgongo sikusema nyumbani na miaka yote

nilikuwa mara Kwa mara naumwa mara shingo au upande wa kushoto sijui tatizo hadi nilipofika miaka ,29 Hali ikawa mbaya sana, baada ya vipomo Dr. akaniambia kabisa kwamba nikiwa mdogo nilianguka na niliumia sehemu fulani nikamjibu ndio. Nikaambiwa ningewahi matibabu isingefika hapa. Ila nashukuru nasema nimepona 90% hiyo kumi hainisumbui kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamna njia nyepesi operesheni ni ya lazima, wengi Wa napata operesheni na wanaendelea vizuri, ikitokea jambo lingine ni bahati mbaya. Hata Mjomba yangu alikuwa anaogopa matibabu tukalazimisha Kwa Sasa anachekelea maisha na kutupongeza Kwa ubabe tuliomfanyia. Alipokuwa mgonjwa ni kilio tu
 
Naomba nami uniekeze mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Uyo father Anaitwa kisome kama ndo uyo Nina number zake
 
Nampataje daktari huyo, mke wangu amekuwa na shida hiyo kwa muda mrefu. Namba yangu ni 0757503034
 
Mlitibiwa hospitali gani. Naomba unicheki kwenye 0757503034
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…