TUMBOO
JF-Expert Member
- Jun 27, 2014
- 3,827
- 2,021
Ndio kwa uyouyo dia kwa fadher anatibu sana watu mm tofauti na mgongo pia kuna kipindi nlichomwa sindano ya maralia hospital nikapata aleji nikatoka vipele vinavowasha mwili mzima nikaenda kwa fadher akanipa dawa yaan nlikua sijalala siku tatu iyo siku napewa dawa hapo kwa fadher nlivokunywa tu hapohapo nikapona sikuamin pia ashanitib nlikua na uti sugu na typhoid sugu kupitia dawa zake nliponaSio kwa father kweli? Kama ni kwa father huyo kweli anasaidia sana. Sijawah kufika physically ila najua kua anatibu sana. Kuna watu wametibiwa mpaka kansa
Sent using Jamii Forums mobile app