Salamu!
kuna ndugu yangu yangu ana tatizo la pingili ya mgongo. Kwa mujibu ya vipimo ni kuwa pingili mbili za mgongo zimepandana (Maelezo ya Daktari baada ya kusoma matokeo ya MRI (Benjamin Mkapa, Dodoma). Hali hii imekuwa inamletea maumivi makali. Aidha, muda fulani hususani nyakati za usiku hupata mshitukona mwili kutetemeka kama mgonjwa wa degedege. Dakatari alieleza kuwa hii inatokana na pingili zile ambazo hazipo sawa kuna kipindi zina gusa mishipa ya fahamu!
Matibabu anayopatiwa sasa ni dawa za kutuliza maumivu pamoja na mazoezi. Aidha, tumeambiwa kuwa operation inaweza kufanyika ila sio nzuri ni hatari. Hali imekosesha amani familia kwa kuwa maumivu ni makali na anashindwa kufanya shughuli zake kwa ufanisi.
Nimeleta hapa nikiamini kuna watu ni wajuzi wanaweza kutusaidia .Aidha kuna wengine wanaweza kutupa hata uzoefu tu!
Nimekuwa nikisikia matangazo ya Daktari mmoja Mororgoro tiba mbadala, kuwa anatibu tatizo hili, lakini kutokana na unyeti wa tatizo lenyewe tupo kwenye mtanzuka!