Wana JF,
Kwanza niseme asanteni sana maana ushauri ambao mmekuwa mnanipa nimekuwa nikiufanyia kazi unanipa matokeo mazuri. Sasa nina changamoto ya kuku wa sasso ambao wana umri wa miezi miwili wamekuwa wakifa hovyo.
Dalili wanakunya kinyesi cha rangi kama chokaa,wengine kinyesi ni kama udongo kinavyofanana!Sasso hawa niliwanunua silverlands.Chanjo zote walipatiwa.
Nilileta mtaalamu akadai kuwa ni fowl cholera, akaniandikia Trimovet, OTC 20%,ESB 3, Piperazine zote nikawaanzishia dozi ya siku 5, zingine siku mbili lakini ajabu vifo vinaendelea!Wakifa mdomoni wanatoa uteute kama wa juice ya bamia!
Msaada wa mawazo tafadhali.