Naomba ushauri kuhusu usonji

Naomba ushauri kuhusu usonji

MsLisa

Member
Joined
Nov 20, 2023
Posts
32
Reaction score
101
Mimi ni mwanamke, 30 yrs mwenye usonji. Jamii/familia yangu wanaona sina tatizo sababu shuleni nilikuwa nafaulu vizuri.

Ninapitia changamoto nyingi mnoo. Kuna wakati nahisi kukata tamaa. Anayeweza kunisaidia mawazo /counselling ntashukuru.
 
Ni muundo wa akili uko tofauti, but sio kama taarifa. Haisababishwi na changamoto za kujifungua, bali wengi hurithi vinasaba
Daah kuna dogo sema yeye alikuwa mzima kabisa mpaka miaka 11 baaadae akajaga kupata tatizo anakuwa hawezi kuongea vzuri ila maneno yanatoka, na anakumbuka kila mtu,
Mpaka shule ikabidi astop hili tatizo linaweza kuwa nn mkuu?
 
Back
Top Bottom