Melancholic
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 3,076
- 5,483
unabakiza ili iweje mkuu tumia yote. kila hela unayopata lazima ipate matumiziMaisha ya kujitegemea nimeyaanza january mwaka huu na kipato changu kwa mwezi kina range 400k mpaka 600k.
Nimepanga chumba kimoja na choo ndani kodi nalipia 80k kwa mwezi...
Sawa mkuu shukrani sana nimeelewa sana ushauri wako na nitaufuataWe tumia pesa, uweke unamuwekea nani?
Hapo naona huna matumizi mabaya, kula vizuri lala vizuri, usijibane bane, kinachobaki ndio ufikirie mengine, maisha mafupi haya.
Kuna dharura mkuu kama kuugua na e.t.c.unabakiza ili iweje mkuu
tumia yote. kila hela unayopata lazima ipate matumizi
Mkuu sasa pesa nitakuwa naitafuta yanini kama afya yangu nitakuwa siijaliHiyo ni anasa mkuu, kwa hicho kipato inabidi ushindie biscuit za tiffany na mo energy.
Mkuu mbona kama unanipotezaMbona unajibana hivyo tumia peasa ikuzoee kuishi ni mara moja tu ktk dunia, kama kipato chako ni kuanzia 400k jitahidi angalau matumizi yako yawe 350+ au zaidi
Mambo mengine yanategemea ukomavu wa ubongo kulingana na umri! Umri huu kimbizana na vibinti, disco, jichanganye ongea na watu upanue uelewa wa walimwengu! Hata tukikushauri yataingia sikio hili na kutokea sikio lile! Kwa umri wako umakini (concentration) ni sifuri!Maisha ya kujitegemea nimeyaanza january mwaka huu na kipato changu kwa mwezi kina range 400k mpaka 600k.
Nimepanga chumba kimoja na choo ndani kodi nalipia 80k kwa mwezi...
Shukran sana mkuu nilikuwa dar but kwasasa nipo kibaha maili moja ndiko nakofanyia kazi zangu. Nitajitadi pia kufanyia kazi ushauri wako.Atleast umepata uthubutu wa kuanza. Hongera sana.
Katika uchumi, ikija topic ya "Money Management" tuna options mbil...
Sawa mkuu nashukuru piaMambo mengine yanategemea ukomavu wa ubongo kulingana na umri! Umri huu kimbizana na vibinti, disco, jichanganye ongea na watu upanue uelewa wa walimwengu! Hata tukikushauri yataingia sikio hili na kutokea sikio lile! Kwa umri wako umakini (concentration) ni sifuri!