Naomba Ushauri: Kuna binti nimezaa naye lakini sihitaji kuishi naye kama mke. Simuoni kama mwanamke wa ndoto yangu

Naomba Ushauri: Kuna binti nimezaa naye lakini sihitaji kuishi naye kama mke. Simuoni kama mwanamke wa ndoto yangu

Wewe ni mjinga...!!

Unapiga kavukavu huku ukitarajia mimba isiingie? ๐Ÿ™„

๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
 
๐ผ๐‘˜๐‘œ โ„Ž๐‘–๐‘ฃ๐‘–๐‘–, ๐พ๐‘ข๐‘›๐‘Ž ๐‘š๐‘ ๐‘–๐‘โ„Ž๐‘Ž๐‘›๐‘Ž ๐‘›๐‘–๐‘™๐‘–๐‘ง๐‘Ž๐‘Ž ๐‘›๐‘Ž๐‘’ ๐‘›๐‘œ๐‘ค ๐‘š๐‘ก๐‘œ๐‘ก๐‘œ ๐‘Ž๐‘›๐‘Ž ๐‘š๐‘–๐‘Ž๐‘˜๐‘Ž ๐‘š๐‘–๐‘ค๐‘–๐‘™๐‘– ๐‘›๐‘Ž ๐‘š๐‘–๐‘’๐‘ง๐‘– ๐‘˜๐‘Ž๐‘‘โ„Ž๐‘Ž๐‘Ž, ๐‘๐‘Ž๐‘Ž๐‘‘๐‘Ž ๐‘ฆ๐‘Ž ๐‘˜๐‘ข๐‘ง๐‘Ž๐‘Ž ๐‘›๐‘Ž๐‘’ ๐‘ก๐‘ข๐‘™๐‘–๐‘—๐‘Ž๐‘Ÿ๐‘–๐‘๐‘ข ๐‘˜๐‘ข๐‘–๐‘ โ„Ž๐‘– ๐‘๐‘Ž๐‘š๐‘œ๐‘—๐‘Ž ๐‘–๐‘™๐‘’ ๐‘ ๐‘œ๐‘”๐‘’๐‘Ž ๐‘ก๐‘ข๐‘˜๐‘Ž๐‘’ ๐‘–๐‘™๐‘Ž ๐‘ก๐‘ข๐‘˜๐‘Ž๐‘ โ„Ž๐‘–๐‘›๐‘‘๐‘ค๐‘Ž๐‘›๐‘Ž ๐‘ ๐‘Ž๐‘๐‘Ž๐‘๐‘ข ๐‘˜๐‘–๐‘ข๐‘˜๐‘ค๐‘’๐‘™๐‘– ๐‘š๐‘–๐‘š๐‘– ๐‘ ๐‘–๐‘›๐‘Ž ๐‘™๐‘œ๐‘ฃ๐‘’ ๐‘›๐‘Ž๐‘’ ๐‘ค๐‘Ž๐‘™๐‘Ž ๐‘ ๐‘–๐‘š๐‘ข๐‘œ๐‘›๐‘– ๐‘˜๐‘Ž๐‘š๐‘Ž ๐‘š๐‘ค๐‘Ž๐‘›๐‘Ž๐‘š๐‘˜๐‘’ ๐‘ค๐‘Ž ๐‘›๐‘‘๐‘œ๐‘ก๐‘œ ๐‘ฆ๐‘Ž๐‘›๐‘”๐‘ข

๐‘˜๐‘ค๐‘Ž๐‘›๐‘ง๐‘Ž ๐‘›๐‘– ๐‘š๐‘—๐‘’๐‘ข๐‘Ÿ๐‘– , ๐‘๐‘–๐‘™๐‘– ๐‘›๐‘– ๐‘š๐‘ก๐‘ข ๐‘ค๐‘Ž ๐‘ฃ๐‘–๐‘ ๐‘Ž๐‘ ๐‘– ๐‘โ„Ž๐‘œ๐‘โ„Ž๐‘œ๐‘ก๐‘’ ๐‘ข๐‘ก๐‘Ž๐‘โ„Ž๐‘œ๐‘š๐‘˜๐‘œ๐‘ ๐‘’๐‘Ž ๐‘Ž๐‘›๐‘Ž๐‘ค๐‘Ž๐‘ง๐‘Ž ๐‘˜๐‘ข ๐‘Ÿ๐‘’๐‘ฃ๐‘’๐‘›๐‘”๐‘’, ๐‘›๐‘Ž ๐‘Ž๐‘›๐‘Ž๐‘๐‘œ๐‘˜๐‘œ๐‘ ๐‘’๐‘Ž ๐‘ฆ๐‘’๐‘ฆ๐‘’ ๐‘ข๐‘˜๐‘–๐‘š๐‘ข๐‘’๐‘™๐‘’๐‘˜๐‘’๐‘ง๐‘Ž ๐‘๐‘Ž๐‘ ๐‘– ๐‘Ž๐‘›๐‘Ž๐‘›๐‘ข๐‘›๐‘ข๐‘Ž ๐‘›๐‘Ž โ„Ž๐‘Ž๐‘˜๐‘ข๐‘›๐‘Ž ๐‘˜๐‘–๐‘ก๐‘Ž๐‘โ„Ž๐‘œ๐‘’๐‘›๐‘‘๐‘’๐‘™๐‘’๐‘Ž ๐‘›๐‘‘๐‘Ž๐‘›๐‘– ๐‘š๐‘ข๐‘‘๐‘Ž โ„Ž๐‘ข๐‘œ.

๐‘†๐‘Ž๐‘ ๐‘Ž ๐‘๐‘Ž๐‘Ž๐‘‘๐‘Ž ๐‘ฆ๐‘Ž ๐‘˜๐‘ข๐‘Ž๐‘โ„Ž๐‘Ž๐‘›๐‘Ž ๐‘–๐‘˜๐‘Ž๐‘๐‘Ž๐‘˜๐‘– ๐‘ก๐‘ข๐‘›๐‘Ž๐‘ค๐‘Ž๐‘ ๐‘–๐‘™๐‘–๐‘Ž๐‘›๐‘Ž ๐‘˜๐‘ขโ„Ž๐‘ข๐‘ ๐‘ข ๐‘š๐‘Ž๐‘ก๐‘ข๐‘š๐‘–๐‘ง๐‘– ๐‘ฆ๐‘Ž ๐‘š๐‘ก๐‘œ๐‘ก๐‘œ ๐‘ฆ๐‘’๐‘ฆ๐‘’ ๐‘Ž๐‘˜๐‘–๐‘ค๐‘Ž ๐‘Ž๐‘›๐‘Ž๐‘–๐‘ โ„Ž๐‘– ๐‘˜๐‘ค๐‘Ž๐‘œ , ๐‘†๐‘Ž๐‘ ๐‘Ž ๐‘˜๐‘ข๐‘›๐‘Ž ๐‘ค๐‘Ž๐‘˜๐‘Ž๐‘ก๐‘– ๐‘Ž๐‘™๐‘–๐‘š๐‘™๐‘’๐‘ก๐‘Ž ๐‘š๐‘ก๐‘œ๐‘ก๐‘œ ๐‘›๐‘–๐‘š๐‘ ๐‘Ž๐‘™๐‘–๐‘š๐‘–๐‘’ ๐‘š๐‘–๐‘š๐‘–

๐‘€๐‘–๐‘š๐‘– ๐‘›๐‘–๐‘˜๐‘Ž๐‘ โ„Ž๐‘–๐‘Ÿ๐‘–๐‘˜๐‘– ๐‘›๐‘Ž๐‘’ ๐‘ก๐‘’๐‘›๐‘‘๐‘œ, ๐‘๐‘Ž๐‘Ž๐‘‘๐‘Ž ๐‘ฆ๐‘Ž ๐‘š๐‘ค๐‘’๐‘ง๐‘– ๐‘Ž๐‘›๐‘Ž๐‘›๐‘–๐‘Ž๐‘š๐‘๐‘–๐‘Ž ๐‘Ž๐‘›๐‘Ž ๐‘š๐‘–๐‘š๐‘๐‘Ž ๐‘ฆ๐‘Ž๐‘›๐‘”๐‘ข ๐‘›๐‘Ž ๐‘ฆ๐‘’๐‘ฆ๐‘’ ๐‘›๐‘Ž ๐‘˜๐‘Ž๐‘”๐‘œ๐‘š๐‘Ž ๐‘˜๐‘Ž๐‘๐‘–๐‘ ๐‘Ž ๐‘˜๐‘ข๐‘ก๐‘œ๐‘Ž โ„Ž๐‘Ž๐‘‘๐‘– ๐‘ ๐‘Ž๐‘ ๐‘Ž ๐‘–๐‘›๐‘Ž ๐‘š๐‘–๐‘’๐‘ง๐‘– ๐‘š๐‘–๐‘›๐‘›๐‘’ ๐‘Ž๐‘›๐‘Ž๐‘›๐‘–๐‘Ž๐‘š๐‘๐‘–๐‘Ž ๐‘˜๐‘ค๐‘Ž๐‘œ ๐‘ค๐‘Ž๐‘˜๐‘–๐‘—๐‘ข๐‘Ž ๐‘™๐‘Ž๐‘ง๐‘–๐‘š๐‘Ž ๐‘ค๐‘Ž๐‘ก๐‘Ž๐‘š๐‘“๐‘ข๐‘˜๐‘ข๐‘ง๐‘Ž ๐‘Žโ„Ž๐‘Ž๐‘š๐‘–๐‘’ ๐‘˜๐‘ค๐‘Ž๐‘›๐‘”๐‘ข โ„Ž๐‘Ž๐‘๐‘œ ๐‘›๐‘‘๐‘–๐‘œ ๐‘–๐‘ ๐‘ ๐‘ข๐‘’ ๐‘ ๐‘Ž๐‘๐‘Ž๐‘๐‘ข ๐‘š๐‘–๐‘š๐‘– ๐‘ ๐‘–๐‘๐‘œ ๐‘ก๐‘Ž๐‘ฆ๐‘Ž๐‘Ÿ๐‘– ๐‘˜๐‘ข๐‘–๐‘ โ„Ž๐‘– ๐‘›๐‘Ž๐‘’ , ๐‘–๐‘™๐‘Ž ๐‘˜๐‘ข๐‘™๐‘’๐‘Ž ๐‘ค๐‘Ž๐‘ก๐‘œ๐‘ก๐‘œ ๐‘Ž๐‘˜๐‘–๐‘ค๐‘Ž ๐‘˜๐‘ค๐‘Ž๐‘œ ๐‘›๐‘–๐‘๐‘œ ๐‘ก๐‘Ž๐‘ฆ๐‘Ž๐‘Ÿ๐‘–

๐ฝ๐‘’ ๐‘›๐‘–๐‘“๐‘Ž๐‘›๐‘ฆ๐‘’๐‘—๐‘’, ๐‘›๐‘Ž๐‘œ๐‘š๐‘๐‘’๐‘›๐‘– ๐‘ข๐‘ โ„Ž๐‘Ž๐‘ข๐‘Ÿ๐‘– ๐‘Ž๐‘š ๐‘“๐‘ข๐‘™๐‘™๐‘ฆ ๐‘œ๐‘“ ๐‘ ๐‘ก๐‘Ÿ๐‘’๐‘ ๐‘ 
๐‘๐‘–๐‘Ž ๐‘ข๐‘˜๐‘–๐‘ง๐‘–๐‘›๐‘”๐‘Ž๐‘ก๐‘–๐‘Ž ๐‘˜๐‘–๐‘๐‘Ž๐‘ก๐‘œ ๐‘โ„Ž๐‘Ž๐‘›๐‘”๐‘ข ๐‘ ๐‘– ๐‘˜๐‘–๐‘˜๐‘ข๐‘๐‘ค๐‘Ž ๐‘›๐‘– โ„Ž๐‘ข๐‘ ๐‘ก๐‘™๐‘’๐‘Ÿ ๐‘ก๐‘ข
We ni mzubaifu sana wa mapenzi. Hapo ndoto zako zishazima. Jifunze kuishi na hayo makosa tu hamna namna.
 
Hilo zigo lako
Yaani haupo tayari kuishi naye ila kitumbua chake unakitaka๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Huku nje hakuna msafi kumzidi huyo we pambana tu usituongezee single maza mtaani
 
Uliona raha sana kumwagia ndani??

Raha ina gharama,kaza Mattyako chukua mke uishi naye acha woga wa kindezi.
 
Kondom kwani huko kwenu hamna....uwe na akili next time.
Haya fanya ivi mwambie haupo tayari kuishi nae ila utalea mtoto akifikisha miaka 6 utamchukua
 
Maisha ya Vijana wengi hasa wa kiume huwa yanaharibiwa na wanawake hawa tunaochukua chukua huku ukiwa huna malengo nae ya kumuoa na unaweza kujutia maisha yako yote mpaka unaingia kaburini.
Jitahidi sana kumtafuta Mungu.

Huyo dada ukikaa vibaya anaweza kwenda kukufanyia kitu kibaya sana..hapo unatafuta kurogwa ndugu. Kuna watu humu wamepitia mikasa kama yako na wengi maisha yameharibika sababu ya hilo.

ushauri; Nenda nae taratibu huyo dada huku ukiomba ulinzi na hekima za kiMungu zikuongoze lasivyo utajutia maisha yako. Usishiriki nae tena Tendo.
Hii comment yako imenikumbusha jambo moja baya sana maishani mwangu!! Basi tu hawa wanawake
Nimeamua kuwa Devil kwaajili ya mtu mmoja tu yote kheri tu..

Yaaani mimi leo wa kufikia hatua hii kweli? Mtu ambae nilikuwa chachu ya vijana wengine kutoka magetoni,,
Wengine walipata uchu na kuoa kwa kuona jinsi maisha yangu yalivyokuwa yamestawi.
Lakini leo hii sina mbele wala nyuma nimesizi kabisa mpaka watu hawaamini wakiniona maana walizoea kuniita kwa brand yangu tu hata jina langu hawalijui..

Wanawake mkiachana na mtu muwe mnaachana tu kiroho safi tu..
Sio mpaka mumfilisi na kublock mambo ya power yake..

Najua nitakaa sawa baada ya miaka mitatu lakini wanawake sio kabisa yaani..
 
pole sana mkuu! mimi mwenyewe bhana niliblockiwa kwa 2 years sijawahi pitia kipindi kama kile nilifikia hatua mbaya sana. Mtu mkiachana sio iwe kiroho safi sasa wanawake wanakimbilia kwa kina kangambile na wapo radhi kutoa hata Utu wao ili wakuharibie... Ila namshukuru Mungu sana.
Hawa wanawake sio kabisa! Mungu atakusaidia Utainuka tena kwa kishindo.

mkuu Elezea kidogo nini kilitokea.
 
Kuna pipo niliishi nayo for ten years,
From nowhere ikaanza kuibuka na project za kunipora nguvu za kiume.

Nikapingana nayo aisee baba yake ร kaibuka kutoka huko akadai anampa mwanae M8 afanye biashara
Nikaona hapa ni kuweka macho yangu tu
So picha likaenda hadi mwishoni mke wangu akasepa home na kwenda kupanga kwa msaada wa baba yake huyu wa mchongo..
Kwanini namuita baba mkwe wa mchongo?
Ni kwamba baba mkwe niliyemtambua alishapumzika pema..
So akaibuka huyu wa mchongo akidai Mke wangu ni binti yake aliyempata kinagendo na mama mkwe wangu..
So mimi nilishindwa kuelewa baada ya kuongezewa baba mkwe.
Nikaona nishaingia middle of Laana tayari..

Kama baba mkwe wangu( Marehemu) alikutana na masuala ya kusingiziwa mtoto kwenye ndoa yake na mama mkwe wangu na mimi nimeoa uzao ule ule wa Jezebel basi ni suala la muda tu na mimi nitapigiwa fataki hizo.

So nilipoteza kabisa ile focus ya kusonga na huyu wife
ukizingatia baada ya yeye kuniambia kuwa hii issue ya kuzaliwa na huyo baba wa mchongo anaijua na ilikwishakuongelewa tangu enzi marehemu akiwepo na Mshua mchongo kupigwa faini ya ng'ombe wawili (like that) kwa kuingilia familia ya watu na wakaendelea na maisha huku mshua mchongo akikubali kupoteza mbegu iende tu.

Sasa ikatokea mshua mchongo akapata mtoto mmoja tu wa kiume mpaka uzee wake..
Sasa alivyoona Mkuu wa kaya ambaye ni baba mkwe wangu naemtambua amefariki akarudi kumrubuni tena mama mkwe (Old snake) kuwa kwakuwa Mkuu wa kaya hayupo basi mama amshawishi binti yake akubali kumilikiwa kwenye ubini wa Mshua mchongo..

Kunogesha hilo akadai anataka ampe binti yake ambae ndie wife mtaji wa M8 kama compesation of the unpaid child support kwa mke wangu.

Hali hii iliibua ambayo sikuwahi kuyaona kwenye maisha yangu kamwe!! Ego na kebehi nyingi sana..
Mke alianza kwenda appointment yoyote ile na msela yeyote kimacho macho bila woga maana sasa hana cha kupoteza

Ukizingatia kuna Financial injection on the process,, so what Am I to her, to speak and command on her moves?

Mwishoni alisepa kabisa home kwangu
Baada ya kuwa amefanya bleaching kibao juu ya njia zangu za pesa na mtaji..

Mara mtu ahamie chumba cha watoto kulala mara amwachie simu binti yake wa kidato kwa kisingizio kuwa impigie alarm.. I knew something is in the pot and soon its gonna be on the table.

Sasa mbaya ile nakuja kugutuka na kuziona zile ishara kumbe miaka minne nyuma nishauawa kitambo..

Unaambiwa tu na rafiki yake kuwa "Wewe uliposhitukia kuwa unaibiwa pesa ilikuwa too late like 4 years tayari unachotwaga pesa tu anapewa mama yake.

Baada ya yeye kusepa tu alimwambia rafiki yake huyu kuwa najua tu mwamba atanitafuta hata iweje lazima anitafute.

Akaulizwa why yuko very sure kiasi hicho akadai kuwa nguvu zangu anazimiliki so lazima nimtafute tu..

Kweli unknowingly nikaanza efforts za kumrudisha akawa anajibu ile kwa kujiamini sana yaani
Mpaka nikawa najiuliza ni source gani iliyopo nyuma ya huyu mwanamke nje ya ile M8 nikawa sipati jibu aisee

Sasa nikaona kitu kipya kabisa maishani mwangu yaani hata nikipewa milioni moja inaisha bila kufanya jambo lolote lile la maana yaani hata kama nafanya biashara na naona kabisa naingiza faida ,
Lakini within a month capital inadecline from 6M to 5 na kuendelea mpaka nafikia capital ya 300k nachoka kabisa
Natamani kulia lakini nashindwa.

Narudi nauza assets zangu kwa hasara nabumba mtaji unafika 4 au 3M lakini in two months ukihesabu mtaji haufiki laki nane..
Nikamuelezea jamaa yangu ni rafiki yangu sana akaniambia labda umetegewa chuma ulete nikagoma
Maana hizo issue nilishafix zote.. no way zinaweza kupenya kwenye mkono wangu..

Nikaamua kuuza assets za mwisho elewa za mwisho kabisa kwenye maisha yangu ya utafutaji,,

Nikaamua kudeal na tatizo hilo aisee niliyoyashuhudia mwanzoni sikuamini nikahisi labda mtaasisi ananizingua nikavuta wire kwa mtaalamu wangu mwingine nchi jirani akaniambia nimtumie majina yangu na ya brand nikatuma akamulika akaniweka wazi vile vile ..akanipa hadi listi ya mtu aliemsaidia wife kutekeleza ule mchezo..

Sikuishia hapo nilicheki na wakula wangu wanne nao mambo yakawa vile vile aisee sikuamini..

Mi nilidhani kuwa nilioa mwanamke wa kawaida sana lakini ripoti kutoka miliki ya kijini zilidai kuwa nilioa kiumbe chenye sura mbili..

So kwangu alikuja kwa mission aliyoianza siku ya tatu tu tangu aingie kwenye maisha yangu
Unaambiwa alikutana na kinga ambayo imewapotezea miaka kumi wasijue kwanini kila wanalopanga juu yangu halifanikiwi.. Wakaona hawana njia nyingine zaidi ya kuharibu uchumi wangu tu..

Hapo ndipo ilitengenezwa issue ikiwa imekusanya viumbe zaidi ya 30 na wife akiwa kama main agent maana yeye ndie alikuwa karibu na mimi muda wote
Akifuatilia juu ya nini napenda
Na kupeleka kila alichoagizwa..

Sasa ajabu nyingine ni hii katika zile siku za mwanzo tukiwa tumeachana aliwahi kuja kubeba nguo za watoto zilizobaki
Kumbuka hapo sijaanza kutambua tatizo liko wapi ila naona ona tu nadidimia mtaji
Kila nikijitahidi kujinasua naangamiza mtaji tu.

Basi akiwa anataka kuondoka baada ya kuwa nimemkabidhi nguo za watoto,, Akaniomba nimpe pete yangu moja hivi!!
Maana nina pete mbili ambazo huwa nazivaa sana yeye akaomba nimpe moja nikakataa kabisa nikimwambia siwezi kumpa mtu yeyote zile pete isipokuwa kwa watoto wangu wawili nao mpaka wakue ndipo niwape kila mmoja pete yake..

Akamaindi akataka kusepa,, Nikamuomba anipe show napo akawaza kidogo kisha akagoma nikajua hapa kuna kitu tu
Maana nilitaka nitumie njia ya sex kuvunja zile nguvu alizokuwa ame initiate kwangu ikashindikana..
Mpaka hapa naendelea kupona mdogo mdogo tu na matokeo ya pesa kukaa nayaona yaani imerudi kuwa kama ten years ago before aje huyu kiumbe kwenye maisha yangu..

Ningefungua uzi ingekuwa na episode nyingi tu so nimeamua kufupisha na kuruka vitu vingi ili tu uelewe japo kidogo..
 
Hii comment yako imenikumbusha jambo moja baya sana maishani mwangu!! Basi tu hawa wanawake
Nimeamua kuwa Devil kwaajili ya mtu mmoja tu yote kheri tu..

Yaaani mimi leo wa kufikia hatua hii kweli? Mtu ambae nilikuwa chachu ya vijana wengine kutoka magetoni,,
Wengine walipata uchu na kuoa kwa kuona jinsi maisha yangu yalivyokuwa yamestawi.
Lakini leo hii sina mbele wala nyuma nimesizi kabisa mpaka watu hawaamini wakiniona maana walizoea kuniita kwa brand yangu tu hata jina langu hawalijui..

Wanawake mkiachana na mtu muwe mnaachana tu kiroho safi tu..
Sio mpaka mumfilisi na kublock mambo ya power yake..

Najua nitakaa sawa baada ya miaka mitatu lakini wanawake sio kabisa yaani..
Mwanamke sio wakucheka nae wee mkandamize tuu kama wanavyofanya mataliban.
Ukicheka nao hawa hawachelewi kukutia dole la mkunduz
 
Mwanamke sio wakucheka nae wee mkandamize tuu kama wanavyofanya mataliban.
Ukicheka nao hawa hawachelewi kukutia dole la mkunduz
Na ukiona kakutia dole mkunduni jua kakumaliza kabisa yaani heshima yako
Kaimwaga chini yote..
Hata kama unampiga dushe usiruhusu akushike matako
Mpige bonge la banzi mpaka asikie ule mlio wa nzi wa kijani kichwani mwake.
 
Ukae nae mbali na uwe makini la sivyo hutajua ni lini ulibadili mawazo na kumuoa.
Utakuja kutambua badae dawa zikiisha mwilini.
Wanawake wa siku wamezidi kwa kuroga wanaume.
Hadi wasichana wadogo.
Hata wanaume za Watu wanarogwa mno.
Tena sana tuu
 
Na ukiona kakutia dole mkunduni jua kakumaliza kabisa yaani heshima yako
Kaimwaga chini yote..
Hata kama unampiga dushe usiruhusu akushike matako
Mpige bonge la banzi mpaka asikie ule mlio wa nzi wa kijani kichwani mwake.
Wee hawa viumbe ni kugegeda tuu wala usiwape nafasi ya kujidai na wewe.
Tumia kibunda kuwakula basi. Uzuri mbususu zao tamu ila wao wenyewe wana roho ya kishetani kabisaaaa
 
Mkuu pole sana ila ukome kuwa na tamaa we mtuu ulishazaa nae ukona hamuendni mkaachana kajipendekeza kuleta mtoto umsalimie kakubinulia binulia ukatamani uka mbandua kitamaa tamaa kumbe alikua anakujaza uingie kwenye mfumo na umejaa, kiufupi huyo ndo mke wako pambana na hali yko.
Tako limemponza jamaaa
 
Wee hawa viumbe ni kugegeda tuu wala usiwape nafasi ya kujidai na wewe.
Tumia kibunda kuwakula basi. Uzuri mbususu zao tamu ila wao wenyewe wana roho ya kishetani kabisaaaa
Homeboy,, why money??
Go poarching for them.
They wont skip the rhythm, believe me.

Money is for your food, clothes and shelter only.
Prey on Ladies using those three Icons then thank me later.
 
Homeboy,, why money??
Go poarching for them.
They wont skip the rhythm, believe me.

Money is for your food, clothes and shelter only.
Prey on Ladies using those three Icons then thank me later.
Mwenzenu mie sijuo kutongoza...
Namwaga hela ili nile mbususu
 
Back
Top Bottom