Naomba Ushauri Kwa Huyu Msichana Nimefanya Kosa Au Ni maringo yake tu

Mtoto anautaka, lakini bado analeta 'swagger'? Kama ulipiga show ya uhakika atakutafuta tu.
 
Huyu si mtoto....kasema ana miaka 40 na mama mdogo ana miaka 25.

Mkuu hauna familia kwa umri huo......maana naogopa simu zako za saa 6 7 usiku shemeji asije akakukamata
Familia ninayo ila Iko mbali Kidogo si unajua Kutafuta tena..
Ndo maana Nikakaita Kamchepuko
 
Inasikitisha 40s una akili kama hizi
Sasa Untaka niwe na akili zipi mkuu..
Ingekuwa Ni wewe Ungeacha mali safi kweli..
Maana Pombe sinywi, Mimi sio Mtu wa Bata kwahyo club mbowe au Sehemu za Viwanja Sigusi..

Sehemu yangu ya Starehe ni Wanawake
 
Duh Dunia Simama Nishuke!
Mtumeeeee

Huyu naye mtu mzima Na Akienda Nyumbani watoto wanassma Baba karudi kazini?

Duh Tuna safari ndefu sana..
Halafu kuna Mtu anauliza Eti kwanini Gen Z (Watoto wa 2000) wana tabia Za Ajabu?
Hamuoni Baba Zao walivyo??

Safari Ipo kwakwel
🤣🤣
 
We Mzee nawewe Tulia Huku hakukuhusu Kabisa..
We nenda kwenye mambo yako Uliyozoea kabisa Huku kwenye Mapenzi tuachie Vijana
 
Watu kama wewe zamani nilikuwa nawaita waseng na nilikuwa nawatukania hadi mama zao kwa kuwaambia k ma la ma mAyak kwa kuleta mambo ya kitoto mbele ya watu wazima.
 
Nimesoma mpaka mwisho sijaona neno condom wala kupima
 
Watu kama wewe zamani nilikuwa nawaita waseng na nilikuwa nawatukania hadi mama zao kwa kuwaambia k ma la ma mAyak kwa kuleta mambo ya kitoto mbele ya watu wazima.
Sasa Hapo si ushanitukana
 
Kama una Miaka 40 na ukawa huna hela basi usimlaumu Rais.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…