GWAMAKA USWEGE
JF-Expert Member
- Feb 23, 2023
- 1,398
- 5,198
Mtu aliyefanikiwa usahili wa UDSM hawezi kushindwa usahili wa TRA. Very rare hombre, very rare.Huko TRA ana uhakika wa kupata?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu aliyefanikiwa usahili wa UDSM hawezi kushindwa usahili wa TRA. Very rare hombre, very rare.Huko TRA ana uhakika wa kupata?
Aaah kwaiyo hapa unamaanisha kwa nafasi zozote za serikali ili afanye interview kwingine itabidi aandike baruaHaiko hivyo. Kwa njia unayoisema, alitakiwa tangu wakati anaomba ajira huko TRA, barua yake ipitishwe na mkuu wake wa idara. So long as ana cheki namba tayari, hawezi kwenda kupiga interview huko TRA kwa style hiyo...
Ndo maana yake. Ukishakua na ile check namba, kuhama kwake serikalini ni kwa kupitia mchakato ambao ni lazima uihusishe taasisi yako uliyopo (mkuu wa idara) kuanzia wakati wa kuomba kazi.Aaah kwaiyo hapa unamaanisha kwa nafasi zozote za serikali ili afanye interview kwingine itabidi aandike barua
KWELI, kama ana uwezo mkubwa wa kiakili, anaweza tengeza channel zingine za kupata pesa .Kama ana malengo ya kuja kuwa prof, abaki UDSM; pia akiwa ni mtu wa kuandika na kutoa machapisho atafika mbali.
Hela zipo tu na tutaziacha, tupunguze tamaa.
Nashukuru sana kwa ushauri ntamshauri hivoAkomae na UDSM, aachane na TRA kwanza.
Faida atakazopata akiwa UDSM ni pamoja na kwenda kusomeshwa masters huko nje na pia pHD ila pia anaweza fanya thesis na research ambazo akifanikiwa kuweka juhudi sana, anaweza pata kazi za part time lecturer kwenye vyuo vingi duniani kupitia virtual meeting na akavuna madollar kibao.
He/she must think on the long term na sio short term.
Sawa kiongozi nashukuru kwa maelezo yako mazuri naamini ntamshauri dogo akomae tu hapa hapa udsmNdo maana yake. Ukishakua na ile check namba, kuhama kwake serikalini ni kwa kupitia mchakato ambao ni lazima uihusishe taasisi yako uliyopo (mkuu wa idara) kuanzia wakati wa kuomba kazi. Na lazima mchakato uwe rasmi, na huko anakoenda wawe wametangaza nafasi za TRANSFER kutoka kwa watumishi walio taasisi zingine za serikali. Mchawi hapo ni hiyo check namba. Asipoteze muda wake bure na kutafuta uhasama kwa wakuu wake wa kazi hapo UDSM.
Ukishaingia kwenye utumishi wa serikali kutoka taasisi moja kwenda nyingine ni utatakiwa kuandika barua ya kuomba nafasi ya kuhamia taasisi unayoitaka na barua yako inatakiwa ipitie kwa Muajiri wako ambae ni Afisa Masuuli au Accounting Officer kwa kimombo.Habarini ndugu zangu nilikuwanaomba ushauri kuna dogo langu anafundisha chuo kikuu cha Dar es Salaam kama Tutorial Assistant na kaitwa kufanya interview TRA kama Tutorial assistant.
Yuko anauliza je kuna umuhimu wa yeye kwenda TRA kufanya interview na akaachana na UDSM maana salary scale ya TRA ni nzuri na hajui kama kutakuwa na fursa mbalimbali kama allowances etc.
Nimeshindwa kumshauri moja kwa moja…naomba mawazo yenu wadau.
Ahsanteni.
Nashukuru sana kwa ushauri wako nimepata mwanga zaidiChuo cha kodi kilikuwa kwenye mchakato wa kufanywa center of excellence kwa east africa sijajua wamefikia wapi.kwa maokoto ni pa kawaida tofauti na watu wanavyopachukuli wakisikia ni TRA wanasahau kua hawa wa chuoni hawako kwenye operation za makusanyo hawa wanafundisha tu so ni pakawaida sana coz unadeal na wanafunzi so wafanyabiashara akikoma udsm anaweza kufika mbali zaidi.part time trainers wanatoka udsm kwenda kufundisha pale chuo cha kodi pia kuna mtu kaacha pale kazi kahamia udsm so uamuzi uko ndani yake
Kwa hio unamaana UDSM hakuna maokoto ya kutosha?kwenda TRA kufanya interview na akaachana na UDSM maana salary scale ya TRA ni nzuri
Ahsante sana kwa mwongozo..nilihisi inabidi aandike barua kwa hr au head of department yake kumbe ni kwa accounting…nashukuru kwa mchangoUkishaingia kwenye utumishi wa serikali kutoka taasisi moja kwenda nyingine ni utatakiwa kuandika barua ya kuomba nafasi ya kuhamia taasisi unayoitaka na barua yako inatakiwa ipitie kwa Muajiri wako ambae ni Afisa Masuuli au Accounting Officer kwa kimombo.
Akienda kufanya hiyo interview hata kama akifaulu hataweza kuajiriwa hapo TRA isipokuwa atatakiwa andike barua ya kuomba kuhamia ambayo atarudi kule kule mwanzo alipoparuka
Otherwise kama ana connection apiganishe apate barua moja kwa moja kutoka Wizara ya Utumishi kumuhamisha kutoka point A kwenda point B.
Hapana maokoto yapo ila kuna kuzidiana pia scale za TRA naona zipo tofauti na hizi za serikali…yaani TRA ni kama wana scale zao wenyewe na wanajiendesha….tofauti na udsm iko chini ya mishahara ilopangwa na wizara ya elimuKwa hio unamaana UDSM hakuna maokoto ya kutosha?
Waarabu kufanyaje?Okay let's say ameenda interview akapata baada ya muda mfupi wakaingiza waarabu, je ajira itakuwepo ?
Basi aondoke huko ambako hakuna maokoto akajiweke kwenye maokoto, for instance let say wewe upo sehemu wanalipa 1.5M per month umepata wanapolipa 4.5M per month, utaenda wapi?Hapana maokoto yapo ila kuna kuzidiana pia scale za TRA naona zipo tofauti na hizi za serikali…yaani TRA ni kama wana scale zao wenyewe na wanajiendesha….tofauti na udsm iko chini ya mishahara ilopangwa na wizara ya elimu
[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]Kama ana malengo ya kuja kuwa prof, abaki UDSM; pia akiwa ni mtu wa kuandika na kutoa machapisho atafika mbali.
Hela zipo tu na tutaziacha, tupunguze tamaa.