pettymarcel
JF-Expert Member
- Jun 17, 2012
- 2,161
- 880
wapendwa nataka kununua cm ya mkononi ila sio mjuzi sana wa cm za ghal coz nilizoea cm za tochi naombeni mnisaidie eti kati ya nokia 200, na nokia lumia 206 ni ipi nzuri nataka kununua ila sijajua which is the best yenye program nyingi, na ubora thanx