naomba ushauri kwa wajuzi wa cm za mkononi plz

naomba ushauri kwa wajuzi wa cm za mkononi plz

pettymarcel

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2012
Posts
2,161
Reaction score
880
wapendwa nataka kununua cm ya mkononi ila sio mjuzi sana wa cm za ghal coz nilizoea cm za tochi naombeni mnisaidie eti kati ya nokia 200, na nokia lumia 206 ni ipi nzuri nataka kununua ila sijajua which is the best yenye program nyingi, na ubora thanx
 
Back
Top Bottom