Naomba ushauri mafuta ya kutumia sehemu za baridi

Naomba ushauri mafuta ya kutumia sehemu za baridi

upload_2016-7-31_14-58-24.jpeg
tumia nivea for men. cream siyo lotion.
 
Kwani humu jf mbona kuna matabaka
mbona kila nikiuliza swali mimi huwa sijibiwi
na wapo wanaoview ila hakuna ata alietia neno
Mbona kutengana jamani....???[emoji22][emoji22][emoji22]
Mhh. Labda unauliza maswali magumu sana mkuu...
 
Back
Top Bottom