Naomba ushauri: Mahakama imetoa hukumu ya kuvunja ndoa yangu bila kunisikiliza

Mbudi

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2013
Posts
577
Reaction score
157
Mahaka ya mwanzo Mwanza imetoa hukumu ya kuvunja ndoa yangu bila kuniksikiliza nilipouliza walisema hawanioni samasi sijawahi kuletewa hata siku moja wamesikiliza upande mmoja.

Ila kuna kila kiashiuria cha rushwa na sijatoka inje ya mwanza hata siku moja hakimu kaniambia hawawezi kunisaidia kwa lolote hiyo imetoka hapa ndio mjini

Nifanyeje
 
MAHAKA YA MWANZO MWANZA IMETOA HUKUMU YA KUVUNJA NDOA YANGU BILA KUNIKSIKILIZA NILIPO ULIZA WALISEMA HAWANIONI SAMASI SIJAWAHI KULETEWA HATA SIKU MOJA WAMESIKILIZA UPANDE MMOJA ILA KUNA KILA KIASHIURIA CHA RUSHWA NA SIJATOKA INJE YA MWANZA HATA SIKU MOJA HAKIMU KANIAMBIA HAWAWEZI KUNISAIDIA KWA LOLOTE HIYO IMETOKA HAPA NDIO MJINI

NIFANYEJE
JUMATANO NITAWEKA NAKALA YA HUKUMU HAPA
 
Huwezi kulazimisha ndoa ikiwa mwenza wako kachoka. Just move on na utapata mwingine.
 
Inaonekana mkeo kakuzid kete af bado unamng'ang'ania

Yajao yanafuraisha kijana
Mwache aende.
 
Inaonekana mkeo kakuzid kete af bado unamng'ang'ania

Yajao yanafuraisha kijana
Mwache aende.
 
MAHAKA YA MWANZO MWANZA IMETOA HUKUMU YA KUVUNJA NDOA YANGU BILA KUNIKSIKILIZA NILIPO ULIZA WALISEMA HAWANIONI SAMASI SIJAWAHI KULETEWA HATA SIKU MOJA WAMESIKILIZA UPANDE MMOJA ILA KUNA KILA KIASHIURIA CHA RUSHWA NA SIJATOKA INJE YA MWANZA HATA SIKU MOJA HAKIMU KANIAMBIA HAWAWEZI KUNISAIDIA KWA LOLOTE HIYO IMETOKA HAPA NDIO MJINI

NIFANYEJE
nicheki PM
 
hakuna mgawanyo wa mali kapewa kila kitu
 
Solution ni ku appeal tu huku ukiweka vielelezo vitakavyo support ur argument.
 
Mahaka ya mwanzo Mwanza imetoa hukumu ya kuvunja ndoa yangu bila kuniksikiliza nilipouliza walisema hawanioni samasi sijawahi kuletewa hata siku moja wamesikiliza upande mmoja.

Ila kuna kila kiashiuria cha rushwa na sijatoka inje ya mwanza hata siku moja hakimu kaniambia hawawezi kunisaidia kwa lolote hiyo imetoka hapa ndio mjini

Nifanyeje
Kata rufaa kanuni ya Audi alteram partem imevunjwa.
 
Kata rufaa acha kulia lia, shubaamit. Uombe kesi isikilizwe upya na wewe ukiwepo
 
Mahaka ya mwanzo Mwanza imetoa hukumu ya kuvunja ndoa yangu bila kuniksikiliza nilipouliza walisema hawanioni samasi sijawahi kuletewa hata siku moja wamesikiliza upande mmoja.

Ila kuna kila kiashiuria cha rushwa na sijatoka inje ya mwanza hata siku moja hakimu kaniambia hawawezi kunisaidia kwa lolote hiyo imetoka hapa ndio mjini

Nifanyeje
Ukiona manyoya ujue keshaliwa!
 
Mmh!. Pole Sanaa
Achana naye move on
Mali zinatafutwa kumbuka tulizaliwa Bila mali!.

Ipo siku atajuata
 
Dai watoto na mali ndiyo muhimu!
Ndoa tupa kule
 
Back
Top Bottom