Naomba ushauri: Mahakama imetoa hukumu ya kuvunja ndoa yangu bila kunisikiliza

Naomba ushauri: Mahakama imetoa hukumu ya kuvunja ndoa yangu bila kunisikiliza

Huyo mkeo labda atakuwa "Njia ya kando" ya huyo Hakimu.... Utatoaje hukumu kwa kupitia upande mmoja? Kata rufaa!!!! BUT, usirudiane na huyo mke... Atakusababishia kifo!!!
 
Mahaka ya mwanzo Mwanza imetoa hukumu ya kuvunja ndoa yangu bila kuniksikiliza nilipouliza walisema hawanioni samasi sijawahi kuletewa hata siku moja wamesikiliza upande mmoja.

Ila kuna kila kiashiuria cha rushwa na sijatoka inje ya mwanza hata siku moja hakimu kaniambia hawawezi kunisaidia kwa lolote hiyo imetoka hapa ndio mjini
Nifanyeje
Kuna mahali fulani umezembea, mke hawezi kuwa na malalamiko juu yako bila wewe kujua, mke hawezi kwenda mahakamani bila kuwa na sababu,Je wewe na mke mlikuwa mnaishi nyumba moja?Au kila mtu na mahali pake?
 
Kata rufaa kama hujaridhika na uamuzi. Ila kama mwenzako keshaamua kwenda zake, mwache tu aende...
 
Hamna kitu hapo huyo alikuwa anakulia timing tu, amesha kula bingo hapo! Gawaneni tu hivyo vitu Kila mtu kivyake! Ila km huyo hakimu atafanya mgawanyo wa Mali basi jiandae kupunjwa!
 
Kata rufaa acha kulia lia, shubaamit. Uombe kesi isikilizwe upya na wewe ukiwepo
Appeal against that Judgment will be abuse of court process. The proper remedy is to make an application to the court to set aside Exparte Judgment, whereby in his application he ought to state reasonable grounds for praying the court to do so.
 
Ndoa ni watu wawili sasa kama mwenza ameamua kwenda mahakami inamaana hiyo ndoa ni RIP
Dada,shida ndoa ikivunjwa na mali zinagawanywa,unaweza kurudi nyumbani nyumba imeuzwa kutokana na hukumu ya kuvunja ndoa. Kwaiyo hapa siotu kutetea ndoa yake bali mali pia na Custody ya watoto.
 
Pole sana...

Itakua kuna mtu mlioneshana umwamba kabla ya hiyo ndoa kufungwa... what goes around comes around...


Cc: mahondaw
 
Appeal against that Judgment will be abuse of court process. The proper remedy is to make an application to the court to set aside Exparte Judgment, whereby in his application he ought to state reasonable grounds for praying the court to do so.
Kwny mahakama Ile Ile au y juu yake?? Maana Kama Ni Ile Ile, hakimu ashamwambie hakuna Cha kumsaidia
 
hakimu anadai samasi ya gazeti ikisha toka ndio mwisho
siwezi kuapeal tena
hakuna kitu kama hicho

NB:
kwa uzoefu wangu wewe ulikuwa unajificha/hauendi shaurini kw kifupi ulishauriwa vibaya.

ushauri
subiria hukumu ikikufurahisha endelea na maisha na Kama hiyo nyumba unamoishi mmejenga wote jiandae kisaikolojia
 
Back
Top Bottom