Naomba ushauri: Mahakama imetoa hukumu ya kuvunja ndoa yangu bila kunisikiliza

Naomba ushauri: Mahakama imetoa hukumu ya kuvunja ndoa yangu bila kunisikiliza

Itakuwa wakati mwenzio anahangaika na mahakamani wewe ulikuwa na michepuko sio rahisi mnaishi nyumba moja mke anaenda mahakamani wewe huna habari? Lakini hii story niyazamani vipi uliambulia hata kigoda huko?
 
Ndugu Mbudi kwa kuzingatia muktadha huu, kubali matokeo na anza maisha upya.
Nashangaa anahudhunika badala ya kushangilia...unapata nafasi ya kupenda tena, mtu mpya, kiss my, hugging mpya na mashine mpya
 
Hivi nashindwa elewa mahakama za mwanzo zina shida gani.zimejaa rushwa manyanyaso wapo kwa ajili kula tu.kata rufaa mkuu hizi mahakama siyo nikilio cha nchi nzima.mahakama za mwanzo ziundwe upya na mfuma wake ubadilishwe sioni faida yake .
 
Back
Top Bottom