JUMATANO NITAWEKA NAKALA YA HUKUMU HAPAMAHAKA YA MWANZO MWANZA IMETOA HUKUMU YA KUVUNJA NDOA YANGU BILA KUNIKSIKILIZA NILIPO ULIZA WALISEMA HAWANIONI SAMASI SIJAWAHI KULETEWA HATA SIKU MOJA WAMESIKILIZA UPANDE MMOJA ILA KUNA KILA KIASHIURIA CHA RUSHWA NA SIJATOKA INJE YA MWANZA HATA SIKU MOJA HAKIMU KANIAMBIA HAWAWEZI KUNISAIDIA KWA LOLOTE HIYO IMETOKA HAPA NDIO MJINI
NIFANYEJE
nicheki PMMAHAKA YA MWANZO MWANZA IMETOA HUKUMU YA KUVUNJA NDOA YANGU BILA KUNIKSIKILIZA NILIPO ULIZA WALISEMA HAWANIONI SAMASI SIJAWAHI KULETEWA HATA SIKU MOJA WAMESIKILIZA UPANDE MMOJA ILA KUNA KILA KIASHIURIA CHA RUSHWA NA SIJATOKA INJE YA MWANZA HATA SIKU MOJA HAKIMU KANIAMBIA HAWAWEZI KUNISAIDIA KWA LOLOTE HIYO IMETOKA HAPA NDIO MJINI
NIFANYEJE
hakimu anadai samasi ya gazeti ikisha toka ndio mwishoSolution ni ku appeal tu huku ukiweka vielelezo vitakavyo support ur argument.
Kata rufaa kanuni ya Audi alteram partem imevunjwa.Mahaka ya mwanzo Mwanza imetoa hukumu ya kuvunja ndoa yangu bila kuniksikiliza nilipouliza walisema hawanioni samasi sijawahi kuletewa hata siku moja wamesikiliza upande mmoja.
Ila kuna kila kiashiuria cha rushwa na sijatoka inje ya mwanza hata siku moja hakimu kaniambia hawawezi kunisaidia kwa lolote hiyo imetoka hapa ndio mjini
Nifanyeje
Bado mahakama haina mamlaka ya kuendesha exparte hearing na kutoa divorce order.Walitakiwa wampe natural justice.Walishindwa vipi kusikiliza upande wa pili?Ndoa ni watu wawili sasa kama mwenza ameamua kwenda mahakami inamaana hiyo ndoa ni RIP
Ukiona manyoya ujue keshaliwa!Mahaka ya mwanzo Mwanza imetoa hukumu ya kuvunja ndoa yangu bila kuniksikiliza nilipouliza walisema hawanioni samasi sijawahi kuletewa hata siku moja wamesikiliza upande mmoja.
Ila kuna kila kiashiuria cha rushwa na sijatoka inje ya mwanza hata siku moja hakimu kaniambia hawawezi kunisaidia kwa lolote hiyo imetoka hapa ndio mjini
Nifanyeje
ulifanyaje? au ni mali yakehakuna mgawanyo wa mali kapewa kila kitu
hakuna mgawanyo wa mali kapewa kila kitu