Itakuwa wakati mwenzio anahangaika na mahakamani wewe ulikuwa na michepuko sio rahisi mnaishi nyumba moja mke anaenda mahakamani wewe huna habari? Lakini hii story niyazamani vipi uliambulia hata kigoda huko?
Hivi nashindwa elewa mahakama za mwanzo zina shida gani.zimejaa rushwa manyanyaso wapo kwa ajili kula tu.kata rufaa mkuu hizi mahakama siyo nikilio cha nchi nzima.mahakama za mwanzo ziundwe upya na mfuma wake ubadilishwe sioni faida yake .