BANGO JEUPE
JF-Expert Member
- Nov 21, 2015
- 3,079
- 2,152
bajet ndogo sana hii, utapata ya mchina ambayo wakiandika ina uwezo wa 10kg, jua ni 3kg hiyomatumizi ya familia kwa bajeti Isiyozidi laki 7
Niongeze hadi ngapi kwa ushauri wakobajet ndogo sana hii, utapata ya mchina ambayo wakiandika ina uwezo wa 10kg, jua ni 3kg hiyo
Niongeze ngapi mkuubajet ndogo sana hii, utapata ya mchina ambayo wakiandika ina uwezo wa 10kg, jua ni 3kg hiyo
kula chuma hiki , ni brand inayojulikana kwa kutotoa famba,Niongeze ngapi mkuu
Laki 7 mmmhh? For washing machine, labda ukatafute used ya kufua sijui hata kama utapatapesa
Hiyo inafaa kwa mimi nisiye na chemba ya maji takakula chuma hiki , ni brand inayojulikana kwa kutotoa famba,
kama unachukua brand nyingine nzuri iwe front-loader ie: nguo unatupia kwa mbele, siyo juu
nakukumbusha, rahisi aghali
Used sitakiLaki 7 mmmhh? For washing machine, labda ukatafute used ya kufua sijui hata kama utapata
Used sitaki
Nitaongeza hela
Bei gani na ipi itafaa kwa mazingira ya nyumba Ninayoishi
Nimenunua Hisense huu ni mwezi wa 9, haijawahi nisumbua. Ni Top Load ya 7Kg, inasuuza na kukamua tu, ni nzuri sana. Namna inavyokamua nguo, kukiwa na jua la kutosha ni nusu saa hadi saa 1 tu nguo imekauka, nguo nyepesi unaweza zipiga hata pasi zikakauka vizuri tu, bei ilikuwa 750,000 tuHabarini Ndugu
Nyumba Ninayoishi haina miundombinu rafiki ya kutumia washing mashine , ingawa nyumba ina choo ndani na jiko na maji yanaflow ndani
Naomba nijue mashine ipi itakua rafiki kwa matumizi ya familia kwa bajeti Isiyozidi laki 7
Pia nakaribisha mawazo mbadala mmefanyaje wadau
Asante
Hii itanifaa mkuuNimenunua Hisense huu ni mwezi wa 9, haijawahi nisumbua. Ni Top Load ya 7Kg, inasuuza na kukamua tu, ni nzuri sana. Namna inavyokamua nguo, kukiwa na jua la kutosha ni nusu saa hadi saa 1 tu nguo imekauka, nguo nyepesi unaweza zipiga hata pasi zikakauka vizuri tu, bei ilikuwa 750,000 tu
PMC hiyo kampuni ya wapi mkuu nasikia za Uturuki na Ulaya ndo uhakikaMkuu, mimi nilinunua aina ya PMC, top loader 8Kg kwa 450,000 tangu Mwaka Jana mwezi wa 9, hadi leo haijawahi kunisumbua. Ina low energy consumption, ina sehem ya kufulia na kukamulia, ni manual. Kwenye kukamua inategemea na mda utakao set. Kwa experience yangu kwa nguo nyepesi inakamua hadi mithili ya kuelekea kuwa dry kabisa. Inafaa kwa matumizi ya familia.
Haiitaji miundombinu ya gharama, Just kuhakikisha pipe ya kutolea maji unaielekeza kwenye channel ya maji taka (kama ni chooni, basi ielekeze kwenye mkondo wa kupokea maji ya kuoga). Kwenye kujaza maji, unaweza ukatumia pipe ya kawaida, au hata kujaza kwa kutumia ndoo.
Kwa ushauri wangu, kama ni kwa ajili ya matumizi ya familia, kwa budget yako unapata mashine nzuri tena yenye guarantee.
Uimara wa hizi mashine unategemea sana na kufuata masharti ya namna nzuri ya kufua na kuhakikisha nguo zako hazina objects ambazo zinaweza kuharibu mashine, mfano coins, kufua nguo kama sox ai leso bila kuziweka kwenye washing bag.
Nikajua umenielewa.. ebu soma tena paragraph ta mwisho kuhusu udumuji wa mashinePMC hiyo kampuni ya wapi mkuu nasikia za Uturuki na Ulaya ndo uhakika
Ndugu nimekuelewa ila mimi sijauliza matumizi maana umeshaelezea ila nimeuliza PM ni kampuni ya nchi ganiNikajua umenielewa.. ebu soma tena paragraph ta mwisho kuhusu udumuji wa mashine
Tatizo la top load matumizi ya maji na sabuni ni makubwa sana.Nimenunua Hisense huu ni mwezi wa 9, haijawahi nisumbua. Ni Top Load ya 7Kg, inasuuza na kukamua tu, ni nzuri sana. Namna inavyokamua nguo, kukiwa na jua la kutosha ni nusu saa hadi saa 1 tu nguo imekauka, nguo nyepesi unaweza zipiga hata pasi zikakauka vizuri tu, bei ilikuwa 750,000 tu
Hizo front-loader hazihitaji kuset chemba maalum kwenye nyumbaTatizo la top load matumizi ya maji na sabuni ni makubwa sana.