Nunua manual washing machine unaweka bafuni kama bafu kubwa na unaweza itoa nje ukatumiaHabarini Ndugu
Nyumba Ninayoishi haina miundombinu rafiki ya kutumia washing mashine , ingawa nyumba ina choo ndani na jiko na maji yanaflow ndani
Naomba nijue mashine ipi itakua rafiki kwa matumizi ya familia kwa bajeti Isiyozidi laki 7
Pia nakaribisha mawazo mbadala mmefanyaje wadau
Asante
Naona front-loader ina muonekano wa mauzo vipi Manual Kuna front-loaderNunua manual washing machine unaweka bafuni kama bafu kubwa na unaweza itoa nje ukatumia
Mwishoni utaomba Mungu afanye namna ili wanaume wapuuzi kama wewe muwasaidie wake zenu kubeba mimbaWazee tununue mashine ya Kufulia wake zetu wasiishi kama watumwa..... yaani zimefuliwa na kukamuliwa nguo kibao kwa umeme wa 0.13, hata unit 1 hazijafika yaani Tsh 200 haijafika
maisha ya kitajiri sio lazima uwe na mapesa kama bahresa
Usisahau pia kununua nguo mara kwa maraWazee tununue mashine ya Kufulia wake zetu wasiishi kama watumwa..... yaani zimefuliwa na kukamuliwa nguo kibao kwa umeme wa 0.13, hata unit 1 hazijafika yaani Tsh 200 haijafika
maisha ya kitajiri sio lazima uwe na mapesa kama bahresa
Manual ni top-loaderNaona front-loader ina muonekano wa mauzo vipi Manual Kuna front-loader
Hiyo imani ya kimaskini achana nayoUsisahau pia kununua nguo mara kwa mara
Speaking from the experienceHiyo imani ya kimaskini achana nayo
Acha matusiMwishoni utaomba Mungu afanye namna ili wanaume wapuuzi kama wewe muwasaidie wake zenu kubeba mimba
Inafaa kufanyia biashara mtaani?Nimenunua Hisense huu ni mwezi wa 9, haijawahi nisumbua. Ni Top Load ya 7Kg, inasuuza na kukamua tu, ni nzuri sana. Namna inavyokamua nguo, kukiwa na jua la kutosha ni nusu saa hadi saa 1 tu nguo imekauka, nguo nyepesi unaweza zipiga hata pasi zikakauka vizuri tu, bei ilikuwa 750,000 tu