Kaory
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 537
- 1,114
Nunua manual washing machine unaweka bafuni kama bafu kubwa na unaweza itoa nje ukatumiaHabarini Ndugu
Nyumba Ninayoishi haina miundombinu rafiki ya kutumia washing mashine , ingawa nyumba ina choo ndani na jiko na maji yanaflow ndani
Naomba nijue mashine ipi itakua rafiki kwa matumizi ya familia kwa bajeti Isiyozidi laki 7
Pia nakaribisha mawazo mbadala mmefanyaje wadau
Asante