Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,194
Swali nzuri mkuuMbona humuonei huruma mke wa huyu bazazi mleta uzi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swali nzuri mkuuMbona humuonei huruma mke wa huyu bazazi mleta uzi?
kinachomuuma ni ile kumbukumbu bidada alivyokuwa anampa.Hivi wanaume si ndo mnasemaga hamchepuki kwa mapenzi bali mnachepuka kwa tamaa na mapenzi yanabaki kwa mke tu? Sasa wewe huyo mchepuko mbona inaonekana umempenda kabisa hadi unaumia yeye kuolewa? Ndo maana wake zenu hawataki na hawapendi mchepuke
Ila mnajitahidi kutafuta kila sababu ambazo hazina hata vichwa wala miguu za kutetea uzinzi wenu kumbe hamna lolote wote wale wale tu siku hizi hamna cha mwanaume wala mwanamke jinsia zote wapo ambao wakichepuka wanahamisha upendo na wapo ambao wakichepuka hawahamishi upendo tusidanganyane
Habari zenu wadau wa Jamiiforums.
Ni mara yangu ya kwanza kutuma ujumbe wenye maudhui kama haya hapa jukwaani.
Naomba mnipe ushauri jinsi ya kukabiliana na stress zinazonikabili.
Suala liko hivi; mwaka jana Oktoba mpenzi (mchepuko) wangu alipata mchumba akaja kuniuliza nikubali au nikatae asiolewe.
Mimi niliona sio vema kumkataza asiolewe maana mimi nina mke, lakini huyu mdada tulielewana sana, aliheshimu ndoa yangu sana, alikua mshauri mzuri mpaka kwenye masuala yangu ya kifamilia na kikazi.
Kuna wakati alikua akinishawishi nimuoe awe mke wa pili, lakini sikuwahi kuwaza kuwa na mke zaidi ya mmoja hivyo nilikataa, akasema sio shida anataka tuendelee kuwa wapenzi no matter what.
Sasa baada ya kumshauri akubali kuolewa, kweli jamaa mwezi Januari akaleta barua, kisha taratibu zote zikafuata.
Sasa leo ndio siku wapo wanafunga ndoa, kuna bonge la sherehe, dada zake (shemeji zangu) wamenipigia simu niende, rafiki zake wa karibu wa kazini kwao wamenipigia simu niende lakini moyo umeshindwa kabisa japo zawadi nilinunua nikampa rafiki yake akapeleka.
Wakuu huyu mwanamke ameolewa kwa ruhusa yangu lakini nimepata stress tangu juzi kila ninachofanya hakiendi, kila ninachoshika hakiendi, yaani nahisi kama akili zangu zimesimama kufanya kazi.
Nisadieni namna ya kukabiliana na hali hii ndugu zangu. Naomba msinitukane, msinihukumu wakuu, nisaidieni natokaje kwenye huu msongo wa mawazo.
Rudia uliposema kaolewa kwa ruhusa yako ? Hahahaaaaaa kweli wanaume manahitaji miaka maelfu kuwajua wanawake.
kinachomuuma ni ile kumbukumbu bidada alivyokuwa anampa.
Sasa jamaa mwingine anaeenda kufaidi.
lakini mbona ameonesha bado anaupendo kwa mke wake hilo haujaliona mpaka hata amekataa kumuoa huyo mwanamke.Hivi wanaume si ndo mnasemaga hamchepuki kwa mapenzi bali mnachepuka kwa tamaa na mapenzi yanabaki kwa mke tu? Sasa wewe huyo mchepuko mbona inaonekana umempenda kabisa hadi unaumia yeye kuolewa? Ndo maana wake zenu hawataki na hawapendi mchepuke
Ila mnajitahidi kutafuta kila sababu ambazo hazina hata vichwa wala miguu za kutetea uzinzi wenu kumbe hamna lolote wote wale wale tu siku hizi hamna cha mwanaume wala mwanamke jinsia zote wapo ambao wakichepuka wanahamisha upendo na wapo ambao wakichepuka hawahamishi upendo tusidanganyane
Labda anataka kujua kama mkiolewa huwa mnakata mawasiliano kabisa.Unataka tukuambie nini?
Usijali
Ataendelea kukupa mchezo kama kawaida
Huwezi kuelewa boss.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kwa akili yake anaamini mwanamke alimuomba ruhusa kweli
Dada alimchota akili tu
Sasa kama anaupendo na mkewe kinachomuuma kitu gani?lakini mbona ameonesha bado anaupendo kwa mke wake hilo haujaliona mpaka hata amekataa kumuoa huyo mwanamke.