Naomba ushauri: Mchepuko wangu ameolewa leo, nimekubwa na msongo wa mawazo

kinachomuuma ni ile kumbukumbu bidada alivyokuwa anampa.
Sasa jamaa mwingine anaeenda kufaidi.
 

Kitu kinaitwa soultie
Na hamjaachana mtaendelea na huo mchezo wenu mkuu
 
lakini mbona ameonesha bado anaupendo kwa mke wake hilo haujaliona mpaka hata amekataa kumuoa huyo mwanamke.
 
[emoji2210][emoji2210][emoji2210][emoji2210][emoji2210]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kwa akili yake anaamini mwanamke alimuomba ruhusa kweli
Dada alimchota akili tu
Huwezi kuelewa boss.
Kuna mambo yule mwanamke kanifanyia mpaka home mpaka siwezi kuandika humu.

Huwezi kuelewa nilivyokua nikiishi nae, kama uliwahi kufiwa na rafiki au mtu wako wa karibu unaweza kuelewa vinginevyo utabaki kunitusi na kunikejeli tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…