Naomba ushauri: Mchepuko wangu ameolewa leo, nimekubwa na msongo wa mawazo

Huwezi kuelewa boss.
Kuna mambo yule mwanamke kanifanyia mpaka home mpaka siwezi kuandika humu.

Huwezi kuelewa nilivyokua nikiishi nae, kama uliwahi kufiwa na rafiki au mtu wako wa karibu unaweza kuelewa vinginevyo utabaki kunitusi na kunikejeli tu
Kwanini ulikataa kumuoa??? Dini yako si inaruhusu ?? Ulitaka mufanye uzinzi kila siku sio?? Bora kaolewa na ingekuwa namjua ningemwambia asikubali hata kwa bunduki japo kusikia sauti yako tu
 
Hapana hawateseki bana,wanawake wengi wenye ndoa wanaishi kwenye paradiso ndogo kama malkia Elizabeth,hawateseki kamwe (kwa mujibu wa waume zao walioko huku jf)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Sasa unawaza nini ilihali mbunye utaoewa kama kawaida? Kaa tuliza mbupu ujipange namna ya kuchepuka na Mme wa mtu ili usije tolewa malinda
 
Kwa kweli
 
Hata mimi ndo nilichogundua
Ni kweli aisee mimi siku hizi sijisumbui kubishana na mtu kwa facts, kama nitatoa fact basi ni kwa ufupi maana nimegundua kuna watu wapo kwaajili ya kutujaza upepo na mimi kujaa nimegoma
 
Huwezi kuwa serious man 😁😁😁,,, we ni emotional man!!!
 
Sasa si ungemuoa kama mke wa pili au mtaliki mkeo umuoe yeye. Some guys are ridicoluous🀣
Huwezi kuelewa boss.
Kuna mambo yule mwanamke kanifanyia mpaka home mpaka siwezi kuandika humu.

Huwezi kuelewa nilivyokua nikiishi nae, kama uliwahi kufiwa na rafiki au mtu wako wa karibu unaweza kuelewa vinginevyo utabaki kunitusi na kunikejeli tu
i
 
Serious man,
Ulipo kataa kumuoa na ukakubali aolewe na mwanaume mwingine ulikuwa na maana yako. Nayo ni kutokuwa kwako tayari kuwa mke wa pili. Mwenzako amekupa heshima kubwa sana kukushirikisha ktk kila hatua.
Huna budi basi kurudisha heshima aliyokupa huyo mchepuko kwa kuwaacha sasa wajenge familia yao mpya kama ambavyo wewe umeilinda familia yako.
Najua unaweza kuwavuruga ukitaka,ila pumzika sasa na mwenzako ajenge nyumba yake kama ambavyo wewe umejenga yako.
Najua utaweza kwa sababu nia unayo,hili la kujisikia vibaya ni la muda tu utasahau.
Mbona tunafiwa na wapendwa wetu lakini baadaye tunapona vidonda na kusahau. Tafakari hili.
 
Mchukue mkeo mtoe dinner kumbushaneni ulipoanzia hadi mlipofikia, laleni hotel mfaidi penzi lenu.

Ni kipindi cha mpito tu, tuliza akili na moyo kisha kila kitu kitakua sawa.
 
Mnisaidie ushauri namna ya kuachana na stress zinazonikabili.

Niko na stress sana wakuu lakini naona mnaishia kunitusi na kejeli.
Kukutusi ni lazima kwa sababu wewe umetaka iwe hivyo. Kama roho inakuuma kwanini uruhusu aolewe!? Kama unaona mtamu sana na anakupenda zaidi muache mkeo kapange uishi nae.
 
Mkuuu ushauri wangu ni hivi muache aende kiroho sifii kabisaaaa na wala usiweke tamaa ya kuomba mchezo na hata akitaka kuendelea kukupa mchezo jitahidi uepuke hilo jaribu. Mke wa mtu ni sumu, ukiendelea kugegeda tena tunategemea kuona uzi wako mwingine wa basaibu yatakayokupata.
*KALE KAWIMBO*
MKE WA MTU NI SUMUUUU YOYOYO, USIJE-JARIBU CHOMBEZAAA YOYOYO YATAKUJA YAKUKUTE YOYOYO USIYOYATEGEMEAAAAA.
 
Wewe tu unantosha kuwa sababu ya kutokuwaza michepuko bebi[emoji7][emoji7][emoji7]

Shida hawa vijana wanahamisha majeshi kwa michepuko huku tumegharamia sana ndoa zao af wanakuja kuuliza maswali ya kipuuzi humu
Ahsante babe[emoji7][emoji7] mimi penda sana wewe
 
Omba ushauri kwa mkeo

Yeye ndie mwenye jibu sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…