Naomba ushauri: Mchepuko wangu ameolewa leo, nimekubwa na msongo wa mawazo

script ya movie bongo
 
Hehehe afu huko bwana harusi wanamjaza upepo leo siku ya muhimu sn ktk maisha yako.,gadeeem🤦🏼‍♀️
 
Usihofu huduma ipo palepale ila kubali nawewe kuitwa mchepuko mana tayari ana mume wake.
 
Ruhusu moyo wako uache aende. Let it go. Kinachokutokea ni kawaida kwa mtu uliyemzoea baada ya muda utamsahau tu.

Nakushauri kama ulikuwa unafanya vitu kwa mchepuko kama kumpa zawadi, kumtoa out au chochote kile basi kifanye kwa mkeo. Jitahidi tu kumfanyia mkeo mazuri hata kama hatakuonyesha kuyapokea kama alivyokuwa anafanya mchepuko, wewe endelea tu utaona matokeo bora baada ya muda.

NB: Husitafute mchepuko mwingine kipindi hiki
 
Nisadieni namna ya kukabiliana na hali hii ndugu zangu. Naomba msinitukane, msinihukumu wakuu, nisaidieni natokaje kwenye huu msongo wa mawazo.
bahati yako umejitetea mapema.
 
VITU BABA
 
Pole. Time heals.

Hold on kila kitu kitakuwa back to normal.

Kikubwa usikubali hata kumwonja tena utajiingiza katika matatizo makubwa kuanzia ya kiuchumi ( you will always want to be her helo) hadi kijamii.

Kinachokupata sasa sio mapenzi , ni WIVU tu na udume dume. Laiti ungempenda usingemruhusu aolewe au kukata kumwoa as second wife , maana tunasema mapenzi unaweza kwenda extra mile.

Swali la kichokonozi- mpaka wanakubaliana kuoana then akaja " kukuomba ruhusa"- walikuwa hawajaanza kubanjuana??. Mlikuwa mnachepukiana.
 
Kunywa chai ya tangawizi kwa wingi
 
Nashukuru mkuu.
Ubarikiwe sana
 
Jifunze kumwacha aende.......
Japo ni ngumu....ila nasisitiza...siku ulipozaliwa, wwzazi wako hawakukuambia kuwa utakutana naye...so jitunze kumwacha aende...[emoji41][emoji41][emoji41]
 
Asante kwa ushauri boss.

Kuhusu kubanduana siwezi kulisemea sana, but yule jamaa ni swala 5 na process kaanzia kwao mke, mke kaja kuambiwa na wazee wake kwamba kuna jamaa anakuhitaji, sasa hapo ndio akaja kunishirikisha, kama binadamu niliona aolewe tu, nadhani hata kama ningekataa still angeolewa hata kama sio leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…