Rozanna Agro Africa
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 809
- 793
Achana na huyo mwanamke fanya ishu zingine, KARMA is real
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
script ya movie bongoHabari zenu wadau wa Jamiiforums.
Ni mara yangu ya kwanza kutuma ujumbe wenye maudhui kama haya hapa jukwaani.
Naomba mnipe ushauri jinsi ya kukabiliana na stress zinazonikabili.
Suala liko hivi; mwaka jana Oktoba mpenzi (mchepuko) wangu alipata mchumba akaja kuniuliza nikubali au nikatae asiolewe.
Mimi niliona sio vema kumkataza asiolewe maana mimi nina mke, lakini huyu mdada tulielewana sana, aliheshimu ndoa yangu sana, alikua mshauri mzuri mpaka kwenye masuala yangu ya kifamilia na kikazi.
Kuna wakati alikua akinishawishi nimuoe awe mke wa pili, lakini sikuwahi kuwaza kuwa na mke zaidi ya mmoja hivyo nilikataa, akasema sio shida anataka tuendelee kuwa wapenzi no matter what.
Sasa baada ya kumshauri akubali kuolewa, kweli jamaa mwezi Januari akaleta barua, kisha taratibu zote zikafuata.
Sasa leo ndio siku wapo wanafunga ndoa, kuna bonge la sherehe, dada zake (shemeji zangu) wamenipigia simu niende, rafiki zake wa karibu wa kazini kwao wamenipigia simu niende lakini moyo umeshindwa kabisa japo zawadi nilinunua nikampa rafiki yake akapeleka.
Wakuu huyu mwanamke ameolewa kwa ruhusa yangu lakini nimepata stress tangu juzi kila ninachofanya hakiendi, kila ninachoshika hakiendi, yaani nahisi kama akili zangu zimesimama kufanya kazi.
Nisadieni namna ya kukabiliana na hali hii ndugu zangu. Naomba msinitukane, msinihukumu wakuu, nisaidieni natokaje kwenye huu msongo wa mawazo.
Shangaa wewe,yani kwamba angekataa asingeolewa[emoji849]Rudia uliposema kaolewa kwa ruhusa yako ? Hahahaaaaaa kweli wanaume manahitaji miaka maelfu kuwajua wanawake.
Usilolijua usipende kuwa shahidi boss.Shangaa wewe,yani kwamba angekataa asingeolewa[emoji849]
bahati yako umejitetea mapema.Nisadieni namna ya kukabiliana na hali hii ndugu zangu. Naomba msinitukane, msinihukumu wakuu, nisaidieni natokaje kwenye huu msongo wa mawazo.
VITU BABAHabari zenu wadau wa Jamiiforums.
Ni mara yangu ya kwanza kutuma ujumbe wenye maudhui kama haya hapa jukwaani.
Naomba mnipe ushauri jinsi ya kukabiliana na stress zinazonikabili.
Suala liko hivi; mwaka jana Oktoba mpenzi (mchepuko) wangu alipata mchumba akaja kuniuliza nikubali au nikatae asiolewe.
Mimi niliona sio vema kumkataza asiolewe maana mimi nina mke, lakini huyu mdada tulielewana sana, aliheshimu ndoa yangu sana, alikua mshauri mzuri mpaka kwenye masuala yangu ya kifamilia na kikazi.
Kuna wakati alikua akinishawishi nimuoe awe mke wa pili, lakini sikuwahi kuwaza kuwa na mke zaidi ya mmoja hivyo nilikataa, akasema sio shida anataka tuendelee kuwa wapenzi no matter what.
Sasa baada ya kumshauri akubali kuolewa, kweli jamaa mwezi Januari akaleta barua, kisha taratibu zote zikafuata.
Sasa leo ndio siku wapo wanafunga ndoa, kuna bonge la sherehe, dada zake (shemeji zangu) wamenipigia simu niende, rafiki zake wa karibu wa kazini kwao wamenipigia simu niende lakini moyo umeshindwa kabisa japo zawadi nilinunua nikampa rafiki yake akapeleka.
Wakuu huyu mwanamke ameolewa kwa ruhusa yangu lakini nimepata stress tangu juzi kila ninachofanya hakiendi, kila ninachoshika hakiendi, yaani nahisi kama akili zangu zimesimama kufanya kazi.
Nisadieni namna ya kukabiliana na hali hii ndugu zangu. Naomba msinitukane, msinihukumu wakuu, nisaidieni natokaje kwenye huu msongo wa mawazo.
Kunywa chai ya tangawizi kwa wingiHabari zenu wadau wa Jamiiforums.

Nashukuru mkuu.Ruhusu moyo wako uache aende. Let it go. Kinachokutokea ni kawaida kwa mtu uliyemzoea baada ya muda utamsahau tu.
Nakushauri kama ulikuwa unafanya vitu kwa mchepuko kama kumpa zawadi, kumtoa out au chochote kile basi kifanye kwa mkeo. Jitahidi tu kumfanyia mkeo mazuri hata kama hatakuonyesha kuyapokea kama alivyokuwa anafanya mchepuko, wewe endelea tu utaona matokeo bora baada ya muda.
NB: Husitafute mchepuko mwingine kipindi hiki
poa fanyia kazi ushauri wanguNashukuru mkuu.
Ubarikiwe sana
Asante kwa ushauri boss.Pole. Time heals.
Hold on kila kitu kitakuwa back to normal.
Kikubwa usikubali hata kumwonja tena utajiingiza katika matatizo makubwa kuanzia ya kiuchumi ( you will always want to be her helo) hadi kijamii.
Kinachokupata sasa sio mapenzi , ni WIVU tu na udume dume. Laiti ungempenda usingemruhusu aolewe au kukata kumwoa as second wife , maana tunasema mapenzi unaweza kwenda extra mile.
Swali la kichokonozi- mpaka wanakubaliana kuoana then akaja " kukuomba ruhusa"- walikuwa hawajaanza kubanjuana??. Mlikuwa mnachepukiana.
VITU BABA