Naomba ushauri: Mdogo wangu anataka kuwa bondia

Naomba ushauri: Mdogo wangu anataka kuwa bondia

Zamiluni Zamiluni

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2014
Posts
13,997
Reaction score
15,112
Hongera waTanzania, Siku yenu njema!

Kama utamaduni wetu wa kushauriana naomba ushauri kwenu wote; hivi nina mdogo wangu miaka 22 huko Marekani leo ni mwezi wa saba amejikita na kujiunga na Clabu ya masumbwi (Boxing club) sasa anvyosema yeye kuwa anazipiga vizuri tu, sasa mie bila kushuhudia.

Sijui niikubali au nisimamishe aendelee na masomo kwani kilichompeleka!!

Feel free mnakarbishwa
 
Mtu mzima huyo, mwache afuate roho yake inavyomwambia. Na nakushauri na wewe ufuate roho yako inavyokwambia.
 
Akutumie video za mapambano nasi tuzione. Akijipanga anaweza kusoma na kupiga masumbwi kwa pamoja
 
Mmmh!! Huyo ndugu yako ni mtata sana.
Siku zote akiwa Tanzania asiwe mwanamasumbwi hafla anafika marekani amekuwa Boxer!!
Take care, huyo anatafuta pesa ya haraka haraka na hataki kusoma.

Tatizo la Boxing Tanzania kwa ujumla hailipi unless uwe superstar kwelikweli na pia unayumba sana, hivyo sidhani kama huyo ndugu yako anaweza ghafla akawa superstar wa boxing.
Ushauri wangu mwambie huyo ndugu yako afanye kile kilichompeleka Marekani kwanza, hayo ya Boxing yawe extra kwake.

Mwisho, nchi za wenzetu kama USA wanaunga mkono sana michezo katika vyuo na Taasisi, hivyo mtu anaweza akawa anasoma na hapo hapo anaendeleza kipaji chake cha michezo, hivyo huyo ndugu yako ifanye hivyo. Pia ni rahisi sana kufukuzwa USA kama unaamua kufanya kitu tofauti kabisa na kile kilichokupeleka kule.
 
Mwambie boxing inahitaji wasomi pia.Mwambie akomae na vyote afanikiwe kote ajurikane kwa jina la boxer msom,asikubal tu kuishia kuitwa boxer
 
Mmmh!! Huyo ndugu yako ni mtata sana.
Siku zote akiwa Tanzania asiwe mwanamasumbwi hafla anafika marekani amekuwa Boxer!!
Take care, huyo anatafuta pesa ya haraka haraka na hataki kusoma.

Tatizo la Boxing Tanzania kwa ujumla hailipi unless uwe superstar kwelikweli na pia unayumba sana, hivyo sidhani kama huyo ndugu yako anaweza ghafla akawa superstar wa boxing.
Ushauri wangu mwambie huyo ndugu yako afanye kile kilichompeleka Marekani kwanza, hayo ya Boxing yawe extra kwake.

Mwisho, nchi za wenzetu kama USA wanaunga mkono sana michezo katika vyuo na Taasisi, hivyo mtu anaweza akawa anasoma na hapo hapo anaendeleza kipaji chake cha michezo, hivyo huyo ndugu yako ifanye hivyo. Pia ni rahisi sana kufukuzwa USA kama unaamua kufanya kitu tofauti kabisa na kile kilichokupeleka kule.
Nashkuru mkuu.... ntalishughulikia....
 
Mwambie atafute mechi hata leo leo aingize pesa, Marekani boxing inalipa sana.
 
Back
Top Bottom