Ni ushauri mzuri sanaMkuu kwa ajili ya usalama baadae andaa wosia ambao utafuata taratibu zote maana hatujui malengo ya bi mdogo n nn
Ningekuwa mm ningesha mwendea KWAMSISI huyo bi mdogo angekuwa ardhini au hawez kuongea
Sitakagi ujinga mm maisha yenyewe mafupi haya
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Na anaweza kumuua kweli.Kuondoa matatizo kwa bimkubwa na wanae endapo lolote litatokea. Huu ni muda muafaka wa kuandika wosia na kuwarithisha kila kitu mlichochuma na bimkubwa. Wosia ufuate taratibu zote za kisheria...
Fanya hivyo haraka sana. Anaweza kukuua huyu kichaa wako. Atamsumbua sana bi mkubwa asiye na hatia
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Siwezi kuchepuka mamii. Labda itokee tu shetani akinishinda
Bado hajawahi kushinda. Kuwa na amani mke wa ujana wangu. Napambana naye vikali. Labda nichoke siku moja kwa bahati mbaya[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
shetani kashinda mara ngapi mume wa ujana wangu????
Dah pole aisee umewekeza upendo wako mwingi wamekudissapoint aisee si bora ungewekeza upendo na muda mwingi kwa watoto wako wandoa pengine wangekua proud zaidi na zaidi kuliko sasa maana uliwadhulumu baadhi ya vitu kama uwepo wako karibu,upendo ukaugawa dah anyway Mungu ni mwema siku zote imekupatia somo lakini.Kabisa mkuu, ni wajinga sana,
Wamelishwa sumu mbaya sana,
Cha ajabu mpaka sasa hivi mimi ndio nawasomesha,
Lakini kinachouzi sana,mahakamani anasema yeye ndio kawasomesha,
Sasa angalia hatari hii, nilivyowapigia simu watoto kuwauliza jinsi mama yao alivyotamka mahakamani,kama ni kweli yeye ndio kawasomesha,
Jibu lilikuwa‘sisi hatufahamu’, kwa kuwa sisi tulikuwa tunaona ada inalipwa tu,!!!!!
Nilivyowauliza Je mama yenu alikuwa na uwezo wakulipia ada kila semester 2.0m , wakasema bwana eee sisi mambo yenu msituingize .
Dunia hii , we acha tu ndugu yangu
DuhhIla sasa huko mahakamani mchepuko kakataa kuwa hakuwa akijua mimi nina mke,
Ameshapewa maujanja na watu,
Na anasema anajua mali zangu zote pamoja na nyumba ya mke mkubwa zote anataka zichanganywe kwenye kesi na kama kugawana, zigawanyee zote
Ahaaaa nacheka kama mazuri ila najiuliza wanawake wengine hii bahati wanayochezea hivi wanaitoaga wapi?.huyu dada kinachofata ni majuto. Ulosema yote yatatokea soon
Bi mkubwa anajua kiasi gani?Kesi ipo mahakamani toka mwezi wa 10 mwaka jana na inaendelea mwezi wa pili,
Sasa hivi nimeshamwacha na yupo mwenyewe pale
morganmasha [emoji187][emoji187]INAENDELEA
Sasa ujenzi wa nyumba kubwa umesimama kipindi hicho ni 2012 au 2013 mwanzoni, nimerudi naendelea na kazi yangu hapa.
Kifupi nyumba ndogo kwa sisi wanaume zimeleta majanga na maumivu yasiyo kwisha Kwan wanaoumia n wake zetu wa ndoa fikiria Mungu akakuchukua leo huyo bi mdogo anaweza msumbua had bi mkubwa kudai Mali
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Hii story iliishia hapa mbona kama vile unaendelea?Akiwa kule, nikapata taarifa kanunua kiwanja kama cha niliona mbili hivi,
Alivvorudi nilimuuliza, akakataa kabisa, nikampigia mama yake kumuuliza, mama tena akakataa,
Ila nilimweleza kwa kutega. Mama kama mtoto wako kaamua kurudi nyumbani. Mwambie tu asifanye kwa kificho huo ni wizi hata watoto wake naogopa wasi je wakapata laana hiyo,
Mama akajibu atakujaje kuishi huku wakati huko ndio kwake?
As nikaona basi bwana isiwe shida,
Nikapotezea nikimsubiri arudi nimuulize.
Mwezi January sasa,
Mwaka 2017,
Fungu la pili kapokea 30 m
DNA! Kahakikishe hao mabinti ni wanao kweli, una kila dalili za mmoja hapo kupigwa, na ndiye anayempa sumu mwenzake(wako halisi) kukuchukia na kukudharau! Usipuuze hili tafadhali.! Ni mara ya tatu hii narudia kama sikosei! Usidharau!Akiwa kule, nikapata taarifa kanunua kiwanja kama cha niliona mbili hivi,
Alivvorudi nilimuuliza, akakataa kabisa, nikampigia mama yake kumuuliza, mama tena akakataa,
Ila nilimweleza kwa kutega. Mama kama mtoto wako kaamua kurudi nyumbani. Mwambie tu asifanye kwa kificho huo ni wizi hata watoto wake naogopa wasi je wakapata laana hiyo,
Mama akajibu atakujaje kuishi huku wakati huko ndio kwake?
As nikaona basi bwana isiwe shida,
Nikapotezea nikimsubiri arudi nimuulize.
Mwezi January sasa,
Mwaka 2017,
Fungu la pili kapokea 30 m
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] hahahahBado hajawahi kushinda. Kuwa na amani mke wa ujana wangu. Napambana naye vikali. Labda nichoke siku moja kwa bahati mbaya
yaani ayatindiganye miaka 18Yani sisi wanawake ukimpata mwenye akili kweli umepeta, na ukimpata kilaza kweli Ni iilaza completely, vyeti vya ndoa vitakusaidia na bimkubwa awe shahidi ako mbona apo kwisha habari ake huyo.
Sisi wanawake tumeumbiwa kusamehe na kusahau hasa kwa mwanaume alieomba msamaha wa dhati kabisa, huyo mama sidhani Kama anaweza kataa kumsaidia mumewe.yaani ayatindiganye miaka 18
halafu atake bi mkubwa awe shahidi????
serious?????