BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
aiseeSisi wanawake tumeumbiwa kusamehe na kusahau hasa kwa mwanaume alieomba msamaha wa dhati kabisa, huyo mama sidhani Kama anaweza kataa kumsaidia mumewe.
Huwa tunasamehe japo kusahau Ni ngumu, na hata mtoa mada ajifunze kuwa mwanamke anakusamehe lakini Ni kazi Sana hicho kitu kupotea moyoniaisee
mbarikiwe sana....
maana angekula alikopeleka mboga!!!!!!
Asipokuwa shahidi mali zote zinagawanywa kwa mwizi wake. Kipi bora, shari kamili au nusu shari?yaani ayatindiganye miaka 18
halafu atake bi mkubwa awe shahidi????
serious?????
Hili neno aspirinAsipokuwa shahidi mali zote zinagawanywa kwa mwizi wake. Kipi bora, shari kamili au nusu shari?
Haya maisha ndugu yangu we acha tuNoma sana!
Mkuu unazikwepa quote zangu, usishupaze shingo. Kapime DNA, au fanya hata vipimo vya kiasili ujue uhalisi wa hao watoto, mara ya nne hii narudia.Haya maisha ndugu yangu we acha tu
Mkulungwa.,Mkuu unazikwepa quote zangu, usishupaze shingo. Kapime DNA, au fanya hata vipimo vya kiasili ujue uhalisi wa hao watoto, mara ya nne hii narudia.
Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
Ukipima watoto DNA na ikaonekana sio wako hapo kesi pia itapungua makali. Mbona kazi rahisi sana...ila.kuanzia sasa mkeo atapata raha sana maana unaenda kuishi kama malaika...hata ukiona mchepuko hutasimaisha mnara [emoji1787]Mkulungwa.,
Umenifanya nicheke,
Ni kweli ni mara ya nne, ushauri wako nimeupokea hapa nilikuwa natafakari kweli,
Lakini pamoja ni ushauri mzuri, naona ni bora kwanza niendelee na hili la Mahakamani kwanza, nione mwisho wake., maana na lenyewe linaniumiza kichwa haswa, kwanza muda unopoteza huko na kupigwa pigwa kalenda na kazi za watu hizi, sio mchezo,
Nimekuelewa ndugu yangu, maana umeongeza kitu hapo
😂😂😂😂Ukipima watoto DNA na ikaonekana sio wako hapo kesi pia itapungua makali. Mbona kazi rahisi sana...ila.kuanzia sasa mkeo atapata raha sana maana unaenda kuishi kama malaika...hata ukiona mchepuko hutasimaisha mnara [emoji1787]
Inategemea kama mchango wangu sio mwingi zigawanywe tuAsipokuwa shahidi mali zote zinagawanywa kwa mwizi wake. Kipi bora, shari kamili au nusu shari?
Ahsante sana! Kila la kheri mkuu!Mkulungwa.,
Umenifanya nicheke,
Ni kweli ni mara ya nne, ushauri wako nimeupokea hapa nilikuwa natafakari kweli,
Lakini pamoja ni ushauri mzuri, naona ni bora kwanza niendelee na hili la Mahakamani kwanza, nione mwisho wake., maana na lenyewe linaniumiza kichwa haswa, kwanza muda unopoteza huko na kupigwa pigwa kalenda na kazi za watu hizi, sio mchezo,
Nimekuelewa ndugu yangu, maana umeongeza kitu hapo
Wewe hujaweka mwanasheria huko mahakamani?Ila sasa huko mahakamani mchepuko kakataa kuwa hakuwa akijua mimi nina mke,
Ameshapewa maujanja na watu,
Na anasema anajua mali zangu zote pamoja na nyumba ya mke mkubwa zote anataka zichanganywe kwenye kesi na kama kugawana, zigawanyee zote
Andika mirathi kisheri na uisajili RITA kabisa + kuteua msimamizi wa mirathi mapema kabla hujaacha mtafarukuNa hapo uliposema Mungu akakuchukua ndipo pa kuangalia sana,
Maana hilo nimelpata wiki iliyopita tu mahakamani,
Ilikuwa hivi, yeye alitaka kuingiza mambo ya watoto kwenye hii kesi, hasa hasa kuwa mali au nyumba ni ya watoto,
Hakimu akamwambia watoto hawahusiki, watahusika tu kama shauri kingekuwa ni mirathi.,
Sasa hapo maana yake ni nini, siku umeondoka duniani hawa watoto wanaweza kutumiwa na ni mdogo kuja kudai mali ya urithi ya ni mkubwa, kwa hiyo mali zako zote ziuzwe au la mali ulizodhani umemwachia ni mkubwa na watoto wa ni mkubwa watakuja kushtukia wanaitwa mahakamani na watoto wa ni mdogo wapate urithi wao,,
Sasa kama hata wenyewe uliwajengea huko wanaona ni mkubwa kaachiwa maghorofa watakuja kuyadai vile vile, maana kumbe wanahaki hiyo,
Lakini kingine ni nini, huyu bi mdogo anaweza hata kukuondoa duniani kwa njia zake, ili ifunguliwe kesi watoto wapewe chao mapema kama ataona bado unang’ang’ania kuishi tu.
Mambo ni mengi lakini tuwe makini sana
Semester zinazofuata usilipie ada tena na Bumu wakachukue kwa mama yao.Kabisa mkuu, ni wajinga sana,
Wamelishwa sumu mbaya sana,
Cha ajabu mpaka sasa hivi mimi ndio nawasomesha,
Lakini kinachouzi sana,mahakamani anasema yeye ndio kawasomesha,
Sasa angalia hatari hii, nilivyowapigia simu watoto kuwauliza jinsi mama yao alivyotamka mahakamani,kama ni kweli yeye ndio kawasomesha,
Jibu lilikuwa‘sisi hatufahamu’, kwa kuwa sisi tulikuwa tunaona ada inalipwa tu,!!!!!
Nilivyowauliza Je mama yenu alikuwa na uwezo wakulipia ada kila semester 2.0m , wakasema bwana eee sisi mambo yenu msituingize .
Dunia hii , we acha tu ndugu yangu
Ha ha ha sasa hivi hata nguvu za kiume hana huyu.....Kata mawasiliano na hao watoto haraka sana. Kwanza kawapime DNA mengine yafuate.
Pale mapenzi yanapoleta uadui...
Hivi una hamu ya kuchepuka tena kweli??
Hapo kuna njia mbili....Mkulungwa.,
Umenifanya nicheke,
Ni kweli ni mara ya nne, ushauri wako nimeupokea hapa nilikuwa natafakari kweli,
Lakini pamoja ni ushauri mzuri, naona ni bora kwanza niendelee na hili la Mahakamani kwanza, nione mwisho wake., maana na lenyewe linaniumiza kichwa haswa, kwanza muda unopoteza huko na kupigwa pigwa kalenda na kazi za watu hizi, sio mchezo,
Nimekuelewa ndugu yangu, maana umeongeza kitu hapo
Hapana ndugu yangu,Wewe hujaweka mwanasheria huko mahakamani?
Nimekuelewa sana,Hizi Mali zingine badilisha majina weka ya watoto wa bimkubwa na ndugu zako wengine.
Ahsante sanaAndika mirathi kisheri na uisajili RITA kabisa + kuteua msimamizi wa mirathi mapema kabla hujaacha mtafaruku
Ndio ilikuwa nia yangu kumwondoa mtoto, lakini mtoto alivyogoma kuondoka tu, mission yote ikafa, kumbuka ilitakiwa aondoka siku mbili kabla ya mimi kusafiriSemester zinazofuata usilipie ada tena na Bumu wakachukue kwa mama yao.
Wakati mwingine haya maisha yanahitaji undava undava.
Yaani wewe ulishindwa kuzungushia hiyo nyumba ukuta hlf ukaweka fensi ya umeme na Suma jkt getini kweli?
Au kuipangisha hiyo nyumba mapema mapema kweli?