Naomba ushauri: Miaka 18 iliyopita niliingia kwenye uhusiano na ‘Bi Mdogo’ na kuzaa naye watoto 2


Pole sana ndugu yangu mtoto ni wa baba na mama ila mtoto atampenda mama akiona tu unemuumiza mama ake hapo ndio wanaume wengi wanapokuja kuumia uzeeni. Mtoto akishajua uki betray mamma ake basi anasahau yote uliyomfanyia.
 
Ushauri wenu ni muhimu sana.

Umri wangu ni miaka 50, nimeoa mke kanisani huu ni mwaka wa 25 naishi naye na tumejaliwa watoto wanne, wa kwanza na wapili wamemaliza tayari chuo kikuu na wa tatu yupo chuo kikuu mwaka wa pili...
Heshima yako mzee, baada ya kutoa salamu ngoja nitulie sasa nipate kitu.
 
Ushauri wenu ni muhimu sana.

Umri wangu ni miaka 50, nimeoa mke kanisani huu ni mwaka wa 25 naishi naye na tumejaliwa watoto wanne, wa kwanza na wapili wamemaliza tayari chuo kikuu na wa tatu yupo chuo kikuu mwaka wa pili...

Dar Gani hiyo kiwanja cha sqm 1200 kwa 1.8m??
 
Ninachokiona hapa inatafutwa sababu ya kuhalalisha kuachwa huyu mchepuko kitafutwe kibinti kingine cha miaka 20.

Kama ni biashara ulishaon hana akili ya ujasiriamali unaendelea kumfungulia kwaajili ya nini?
Hapana sina maana hiyo,
Na biashara wakati mwingine ni bahati,
Lakini stay tune, sitazungumziamabaya yake tu,
Kitendo cha kuwa naye miaka 20 inamaanisha ana mazuri yake pia, binadamu sisi sio wakamilifu
 
Ni kweli, sisi wanaume ni maguvu, lakini usisahau kwamba tuliambiwa majukumu yote ya kulea familia ni yetu, labda ndio maana kutokana na ugumu wa familia huwa tanajifariji kwa mambo kama haya, mwishowe tunapoteza...
So sad nimeshuhudia shemeji yangu mkubwa yaani alikuwa na wake 3 lakini uzeeni ni kama hakuwahi zaa wala kuoa. Sasa hivi wadogo zake ndio wanamtunza watoto wana kazi ya kuangalia mama zao tu.

Wale wa ni mkubwa wanasema baba yao aliwa neglect wakiwa wachanga sana wakalelewa na mama yao hii ni kweli. Wale wa mke wa pili wanasema baba yao alimpenda mke wa Tatu kwa hiyo hao watoto wa mke wa Tatu ndio watunze baba yao kwa kuwa wao ndio walifaidi pesa zake. Bi mkubwa yuko zake Canada ana kula raha na wanae.
 
Mbona wewe mimba yako wazazi hawakuitoa hadi ukazaliwa?/unafikiri kutoa mimba ninrahisi kama unakunya ! Inahitajinujasiri zaidi ya shetan. Hawa watotot ukishawakataa, watakhsumbua sana, tubu mjomba
Sawa, lakini mbona watu wanatoa bado,
Ila ni kweli watoto wangu nawapenda na ule ulikuwa ni ujana tu, ila nilishamwambia mimi nina mke na sitaki tuzae, hayo lakini yalishapita, na kwa nini ufikilie mambo ya zamani tu na kunitukana juu, kama kutubu nilishatubu, na ndio maana nafasi mesh’s watoto wangu na nyumba nimewajengea, ingawa wanasnza kunifanya nione ule uamuzi wa kwanza kama ulikuwa ni mzuri
 
Du!!!!
 
Baba angu ndio maana tumekwambia achana na kujibu watu kwa sasa

Hutakiwi kujibu mtu we shusha tu story tusome watu utajibu mwisho uko utakwazika bure ususe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…