Luv
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 2,739
- 6,099
Tunasubiri umalizie, tukushauri tulaleNajua atanitukana kwa kunijenga,
Ila kama naye ni mwanaume rijali asimtukane mkunga wakati bado anazaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunasubiri umalizie, tukushauri tulaleNajua atanitukana kwa kunijenga,
Ila kama naye ni mwanaume rijali asimtukane mkunga wakati bado anazaa
Ndugu yangu, kama mpaka leo nipo hai Mungu ni mkubwa na ananipenda, ndio naelekea Bukoba hukoThis is a cry for help,watu hujiua,hivhiv.Sonona huanzia mbali.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji28]Yaani yuko busy kujibu watu jamani ni vile baba yetu lazima tuwe wapole leo
Kabisa and I feel itKuna vya kujifunza kipenzi tukae apa mpaka mwisho
Same Mess gani na umesema hujaoa mkuu, n wattni wadogo kivipi? Au unaishi na mke ila bado ndoa, lakini kwa umri tafuta mke pata watoto? Nimeona kuna faida kubwa sana ukiwa na watoto na waanzishe shule mapema ukiwa na nguvu, kipindi cha kusoma kikianza ndio kipindi ambacho mambo mengi sana ya kimaendeleo yanasimama, kwa hiyo inatakiwa uchacharike hasa ili uwe nafuture yako nzuri,
Maana kwa umri nimeanza kuona wakati mwingine watoto ni wa Mama tu, sisi wanaume future yetu inategemea kila ulichojiandalia wewe mwenyewe, tunazaa tu ili ijulikane umezaa, ila bado nakuja huko!
Ahsante sana,Mwitore kaka,yangu ukihitaji ushauri am 48 njoo tushauriane nakungoja umalize story l will advice you accordingly.
Mshua endelea basi asee, acha kujibu haya makomenti hayakusaidii kitu[emoji21]Ndugu yangu, kama mpaka leo nipo hai Mungu ni mkubwa na ananipenda, ndio naelekea Bukoba huko
Ahhaa naona usingizi huu apa
Heshima yako mzee, baada ya kutoa salamu ngoja nitulie sasa nipate kitu.Ushauri wenu ni muhimu sana.
Umri wangu ni miaka 50, nimeoa mke kanisani huu ni mwaka wa 25 naishi naye na tumejaliwa watoto wanne, wa kwanza na wapili wamemaliza tayari chuo kikuu na wa tatu yupo chuo kikuu mwaka wa pili...
Angejua haya macoment huwa hayaishi angeachana nayo tu ajibu mwishoni ukoMshua endelea basi asee, acha kujibu haya makomenti hayakusaidii kitu[emoji21]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Ushauri wenu ni muhimu sana.
Umri wangu ni miaka 50, nimeoa mke kanisani huu ni mwaka wa 25 naishi naye na tumejaliwa watoto wanne, wa kwanza na wapili wamemaliza tayari chuo kikuu na wa tatu yupo chuo kikuu mwaka wa pili...
Hapana sina maana hiyo,Ninachokiona hapa inatafutwa sababu ya kuhalalisha kuachwa huyu mchepuko kitafutwe kibinti kingine cha miaka 20.
Kama ni biashara ulishaon hana akili ya ujasiriamali unaendelea kumfungulia kwaajili ya nini?
Ha ha haAhhaa naona usingizi huu apa
Baba endelea basi tunataka kulala
So sad nimeshuhudia shemeji yangu mkubwa yaani alikuwa na wake 3 lakini uzeeni ni kama hakuwahi zaa wala kuoa. Sasa hivi wadogo zake ndio wanamtunza watoto wana kazi ya kuangalia mama zao tu.Ni kweli, sisi wanaume ni maguvu, lakini usisahau kwamba tuliambiwa majukumu yote ya kulea familia ni yetu, labda ndio maana kutokana na ugumu wa familia huwa tanajifariji kwa mambo kama haya, mwishowe tunapoteza...
Sawa, lakini mbona watu wanatoa bado,Mbona wewe mimba yako wazazi hawakuitoa hadi ukazaliwa?/unafikiri kutoa mimba ninrahisi kama unakunya ! Inahitajinujasiri zaidi ya shetan. Hawa watotot ukishawakataa, watakhsumbua sana, tubu mjomba
Du!!!!Yes naishi na mwanamke sijamuoa. Nayeishi naye sitaki kumuoa namtaka yule mwingine.
Wote wana watoto wawili
Jumla 4 kids
Pair ya kwanza wamepishana miezi 8 wapo vidudu huko.
Pair ya pili wamepishana mwaka mmoja anasimama dede mwingine ndio kwanzaaaa.....
HAKI UCHAWI UPO DUNIANI[emoji3][emoji3][emoji3]
Mimi siwahurumii wanaume wanahamgaika huku Wana roho ndogo ya ku handle Mambo.Wanapenda kujipa stress na hawakomi
Huyu mzee ni mfano wa hawa mabaharia wa sasa wanao tamba wanasahau fainali uzeeni
Baba angu ndio maana tumekwambia achana na kujibu watu kwa sasaSawa, lakini mbona watu wanatoa bado,
Ila ni kweli watoto wangu nawapenda na ule ulikuwa ni ujana tu, ila nilishamwambia mimi nina mke na sitaki tuzae, hayo lakini yalishapita, na kwa nini ufikilie mambo ya zamani tu na kunitukana juu, kama kutubu nilishatubu, na ndio maana nafasi mesh’s watoto wangu na nyumba nimewajengea, ingawa wanasnza kunifanya nione ule uamuzi wa kwanza kama ulikuwa ni mzuri