Lakini haina ya kutoa au kuwapa jina hili,Atabaki kuwa mchepuko tu mkuu mpaka utakapo amua kumtambulisha kwa mkeo, ndiyo atatambulika kama mke mdogo, hakuna justification
Mbona nilisema, hiyo ni 2016 sasa, mwishoni,Mkuu naomba ukumbuke kutuwekea muda wa matukio yanavyotokea. Hapa ilikuwa mwaka Gani?
Sawa ndugu, lakini naomba neno mchepuko usilipende sana kulitumia angalau kwa muda huu,Yani huyu mwanamke na tena ni mchepuko anakuambia akushikie pesa na unakosa jibu unawaza ufanyaje mkuu, hebu anza kuamka hizo akili sio zako, usijaribu kumpa mwanamke kitita cha pesa zishike uzipangie matumizi
Da Bola yule wa kuzaa, sasa wewe si ndio utakuja kwa mission moja tu ya kunimalizia mapema ili nisijutilie kiwingu, mimi Bi I mkubwa huyo huyo,Mzee umesema ukistaafu una Kama 250m? Naomba nikufariji pindi utakapostaafu umehangaika Sana na majukum ya hapa na pale unahitaji kutulia Sasa na kula mema ya nchi...mi sihitaji kuzaa ucjal
Ukute Kuna jamaa mmefanana tabia[emoji16][emoji16][emoji16]Hapana watoto ni wangu kabisa, tabia mwendo, kuzungumza, kucheka, kukasirika, ukaribu ni mimi tupu, hata watu wakiwaona, wanasema nina damu kali sana
Story nzima ni ya mke mdogo, sitaki kuingiza mambo ya mke mkubwa hapa, sitamtendea haki, jana tatizo na mimi, na binafsi nampenda sana, Muda wa kuwa naye upo na hata our tunatoka,Ukirudi uje na majibu ya maswali hay, unajua stori nzima tangu umeanza unamuongelea sana huyo mchepuko, sijui ni muda gani ulikua unatumia na mkeo, mkuu hiyo ni laana na ndiyo maana unapitia mengi mabaya, mkeo hakustahili haya, kama ukitaka mke mdogo ungemtambulisha mkeo, haya ni mambo ya karma malipo ni hapa hapa duniani
Mpaka hapo kanikomesha nini, ni naona kama kanipa faida na ujinga wake, wewe unasema kanikomessha, anyway story bado, mtatoa majibu tu.Hapa ndo michepuko wananikomesheaga watu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Oooh basi tuendelee inakuwa nusunusu adi mzooka unakosaMpaka hapo kanikomesha nini, ni naona kama kanipa faida na ujinga wake, wewe unasema kanikomessha, anyway story bado, mtatoa majibu tu.
HapanaMkuu hili jina lako lina maana “mjioe”??
Tulio single tunajulikana tu, saa nane usiku hii tupo online....hii story imefanana na baba mmoja namfahamu tofauti tu yeye aliishia kwenye viwanja
hajafanikiwa kujenga na wanawake wore walimove on wana maisha yao Ila yeye kabakia anarandaranda duniani
Kuwa online saa 8 kwako ina maanisha kuwa single?Tulio single tunajulikana tu, saa nane usiku hii tupo online....
[emoji3516]
MABAHARIA TUMEKUKOSEA NINI MKUU??!!
MBONA KAMA UNATUOMBEA DUA LA KUKU?!?!
Usitufokee sasa.
Kwani Dunia ni yetu? [emoji23][emoji23]
Wote ni hohehahe waliofanikiwa sana ni wa mke wa kwanzaNa watoto wa mke wa tatu wana excuse gani?